kisiki kibichi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2019
- 449
- 280
.....Ushindi wake mkubwa ni Draw. Na endapo atapita Basi Nitakuwa mshabiki wa Simba kwa Mwaka mmoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Wachawi wa yanga bhana mnatia huruma.....Ushindi wake mkubwa ni Draw. Na endapo atapita Basi Nitakuwa mshabiki wa Simba kwa Mwaka mmoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Hifadhi maneno yako,pia kumbuka upo uwanja wa Samora hiyo jumamosi
Nazungumzia club bingwa Barani AfricaHifadhi maneno yako,pia kumbuka upo uwanja wa Samora hiyo jumamosi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hifadhi maneno yako,pia kumbuka upo uwanja wa Samora hiyo jumamosi
Sent using Jamii Forums mobile app
Simba haitaki mashabiki uchwara km ww eti ikipita ndo uwe shabiki kwa mwaka mmoja, yaani wewe unataka mafanikio tuu.....Ushindi wake mkubwa ni Draw. Na endapo atapita Basi Nitakuwa mshabiki wa Simba kwa Mwaka mmoja
Sent using Jamii Forums mobile app
Kajifunzeni kilingala ili baada ya mechi muomboleze pamoja.Wale Wakongo tujuane mapema.
Mkuu njoo pm mjr95Hahahaa utakua huijui simba ww. Wale wapumbavu wana loga sana aisee.
MGC