Sioni mwisho mwema wa Mtulia kwenye siasa

Hata Rwanda viongozi wa dini ndo waliosababisha damu kumwagika,, na wengi wao wanahasira kwa benki zao waliokuwa wanazitumia kujinyakulia pesa kiholela kufungwa
Kamtafute Sitta aliyewadhihaki maaskofu umuulize nini maana ya dunia!!!
 
Nasikia anatoa damu sana mkunduni na haongei vizuri yupo kwao Rufiji pwani
yaan nilikuwa nakuheshimu sana comrade lakini kumbe bure kabisa wewe.nachukua nafasi hii kukujumuisha na vijana makarai wasiojua kujenga hoja humu jf bali kuleta vioja.
[HASHTAG]#wacha[/HASHTAG] lugha chafu linda heshima yako ndugu.
 
dhuluma haijengi,mwisho mwa dhuluma ni chuki
 
MichademaChaggas acheni ujinga na ulofa

Hakuna Maandamano wala ndugu yake Maandamano
kama hakuna maandamano mbona mnakuwa na hofu hadi mnawafungia viongozi wa upinzani,watu wakipost kukemea nakuzungumzia maandamano mnawatafutia kesi,nyie ni wapuuzi wa mwisho na waoga mno hamujiamini kabisa mna jeshi,mna silaha mna kila kitu ila hofu imewatanda,kweli nyie ni zaidi ya ndezzi,kelele nyingi kumbe mioyo inawadunda,
 
Mbona hujawataja hawa


Samweli sita

Mh Komba


Celline Kombani


Masabuli



Au umesahau maneno au majivuno yao
 
yoote hayo uliyoyasema hapo ni kwasababu ya CHADEMA wala siyo Mtulia. Akwilina asingekufa kama CHADEMA wasingeandamana saa 12 jioni tena bila kibali. Mhe. Mbowe na wenzie wapo mahabusu kutokana na kuvunja sheria na siyo vinginevyo. Abdul Nondo kasimamishwa chuo kutokana na uwehu wake mwenyewe wa kufuata mkumbo kwa kukubali kutumika, ikiwa ni mwendelezo wa CHADEMA wa kutengenezea matukio hasa ya kujiteka ili kupata huruma ya wananchi wajinga kama wewe. Kwahiyo usituletee ujinga wako hapa kwa watu werevu tunaojitambua.
 
aliyezoea kula Nyama za watu hawezi kuacha abadani"" dawa nikumpelekea majuto ili aweze kuujitia ujinga wake """
 

Yule Mpangaji wetu pale magogoni kila haipiti wiki mbili hajaitamka Libya, Rwanda anapata kigugumizi(urafiki) Iraq lazima aitaje...huwa anamaanisha nini? au nyani haoni.....ndule?
 
Ohooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…