nakuona balozi wa mambo ya nje unapita kuangalia maendeleo ya vijana wako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lakini pongezi nyingi ziende kwa balozi
mng'ato hakika juhudi zake zinaonekana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vp leo Valentine mzungu ajatokea bado? Nasubiria picha zako zile kule ujue.