Entreprenuare
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,616
- 1,737
- Thread starter
-
- #41
Demu wa kwenye nyeto ni mzuri sana akilinganishwa na hawa tunaowaona. Pia ni mtaaramu wa style zote kiasi kwamba katika real life hayupo. Sasa inaweza kukuwia ngumu kufanya vizuri uwapo na demu wa hapa duniani maana hana vigezo vya mademu wako wa chamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukihitaji mchumba kwenye chama chetu usisite kutuambia!!
Haina madhara kijamii, kiafya na hata kiuchumi
Endelea tu mkuu, nasikia Zero IQ ndio mwenyekiti wao tafadhali wasiliana nae akupe kadi ya kudumu ya uanachama
Naona faida tu hapo sijaona madhara!!
Madhara inayo sema ninachoipendea hii kitu haiathiri uchumi lakin pia haina usumbufu wa kupoteza muda kumtafuta Mwajuma ndala ndefu ili msex...pia inakuepusha na ukimwi na mimba zisizotarajiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Madhara niliyoyapata mimi kwa sababu ya nyeto ni kuchelewa kupiga bao ama kumaliza game bila kupiga bao kabisa. Hii kitu inanitesa basi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kudanganya mkuu hizo story tu za kina ndodi ila kula vizuri fanya mazoezi ndo uchawi wa game ulipo.Madhara yake utayaona baada ya muda mfupi ujao kwenye maisha yako (near future)!
Halafu ogopa sana kitendo ambacho unakifanya leo lakini madhara yake yanakuja baadae!
Mfano wake ni magonjwa yasiyo ambukiza yanayesa watu wengi siku hizi kutokana na mifumo ya maisha isiyofaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Utatumia file la kudownload au utatumia yaliyo seviwa kichwani[emoji23][emoji23]Kwa ku support CHAPUTA naenda kupiga moja fupi kali. Kidumu chama milele
Nyeto haina mdhara. Hayo ni matatizo yako wewe km wewe wala usiiasingizie nyeto..
Mkuu mimi nimeapa kuacha na jana kwa dhati ya moyo wangu niliamua kupiga cha mwisho, na nimeacha toka jana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mimi nimeapa kuacha na jana kwa dhati ya moyo wangu niliamua kupiga cha mwisho, na nimeacha toka jana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Haahahaha.. mie nljaribu kpnd flan ila nilichubuka sanaa.. ila nipo chamani kama Afsa mtetezi wa Nyeto ( cheo kimo ndani ya wizara ya habari na Mahusiano -Chaputa )
Daaahh safi sana mkuu,inabidi leo ujipongeze kwa nyeto kdg ili kuunga mkono maamuzi yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Si kweli, mkuu mi nikiwa na demu huwa naishau kabisa yaani hata kam yupo mbali ila na uhakika nacho basi huwa nasahau nyeto kabisa,Madhara ni mental addiction basi hutaweza kusikia utamu wa papuchi milele mpaka ukapige kimoja
Sent using Jamii Forums mobile app