Sioni madhara ya nyeto

Madhara inayo sema ninachoipendea hii kitu haiathiri uchumi lakin pia haina usumbufu wa kupoteza muda kumtafuta Mwajuma ndala ndefu ili msex...pia inakuepusha na ukimwi na mimba zisizotarajiwa

Sent using Jamii Forums mobile app

Na mm Ndio maana napiga, yan na save sana pesa


Sent from my iPhone using JamiiForums
 

HAKUNA MADHARA. PERIOD. In fact ni maandalizi mazuri sana kwa mechi. Hizo effects zinazoimbwa ni myths tu. Ukweli ni kwamba masturbation inasaidia hata longevity. ....
 
Kupata madhara kutategemea na njia unayoitumia kupiga punyeto..

Sehemu za Siri kwa jinsia zote ni laini na zina misuli,na kitendo cha kupiga nyeto ukihusisha kitu ambacho sio rafiki na sehemu za Siri lazima upate madhara...
Kwa uume wapo wanaotumia sabuni hii inaweza leta madhara kwani sabuni huenda ikawa na kemikali,wapo wanaotumia vifaa kama sex doll,tatizo ni pale unapotumia kitu ambacho kitaleta utofauti ktk maumbile yako mfano ugumu wa kifaa husika hulemaza misuri ya uume na hata uke pia..
Pia kumbuka ktk uume kuna mrija unaopitisha manii na mkojo huu pia unaweza ukaudhuru na kuuletea shida ama kwa kuuminya sana uume unapofika kileleni Kama utakuwa unatumia kitu kigumu!!.

Hautapata madhara kama hautatumia njia ambayo itakuwa sio rafiki na maungio ya Siri.. Ni lazima uzingatie ufanano wa uhitaji wa jinsi nyengine Kama ilivyoumbika
 
Nakuona kwenye anga zako. Vp wewe umeyaona madhara?

Sent using Jamii Forums mobile app
nakuona balozi wa mambo ya nje unapita kuangalia maendeleo ya vijana wako πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ lakini pongezi nyingi ziende kwa balozi mng'ato hakika juhudi zake zinaonekana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Vp leo Valentine mzungu ajatokea bado? Nasubiria picha zako zile kule ujue.
 
Madhara yapo. Mfano mtu ukishapiga badala ya kuandika neno MPAKA unaandika MBAKA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Demu wa kwenye nyeto ni mzuri sana akilinganishwa na hawa tunaowaona. Pia ni mtaaramu wa style zote kiasi kwamba katika real life hayupo. Sasa inaweza kukuwia ngumu kufanya vizuri uwapo na demu wa hapa duniani maana hana vigezo vya mademu wako wa chamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We umeanza form one😳😁!!!!!!!!!!!!
wengine tumeanza standard six
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…