Sioni madhara ya nyeto

Wakuu mambo

Nilianza kupiga nyeto 2009 nipo form one, mbaka nafika chuo bado najilipua, nimemaliza chuo bado najilipua

Ila kiukweli mbaka sasa hivi sijaona negative impacts yoyote, na kama show napiga show za kibabe, yani nipo fit sana kwenye swala la kugegeda, japokuwa na nyetuka.

Tena naona nyeto ndio inafanya mashine iwe strong balaaa, na pia inakuwa kimtindo.

Aisee hayo madhara mbona mimi sipati, sijui kuwahai kufika kileleni, mara sijui nini, mimi sipati hivyo vitu.

Madhara yapo wapi wanachama wenzangu??

Sent from my iPhone using JamiiForums

HAKUNA MADHARA. PERIOD. In fact ni maandalizi mazuri sana kwa mechi. Hizo effects zinazoimbwa ni myths tu. Ukweli ni kwamba masturbation inasaidia hata longevity. ....
 
Kupata madhara kutategemea na njia unayoitumia kupiga punyeto..

Sehemu za Siri kwa jinsia zote ni laini na zina misuli,na kitendo cha kupiga nyeto ukihusisha kitu ambacho sio rafiki na sehemu za Siri lazima upate madhara...
Kwa uume wapo wanaotumia sabuni hii inaweza leta madhara kwani sabuni huenda ikawa na kemikali,wapo wanaotumia vifaa kama sex doll,tatizo ni pale unapotumia kitu ambacho kitaleta utofauti ktk maumbile yako mfano ugumu wa kifaa husika hulemaza misuri ya uume na hata uke pia..
Pia kumbuka ktk uume kuna mrija unaopitisha manii na mkojo huu pia unaweza ukaudhuru na kuuletea shida ama kwa kuuminya sana uume unapofika kileleni Kama utakuwa unatumia kitu kigumu!!.

Hautapata madhara kama hautatumia njia ambayo itakuwa sio rafiki na maungio ya Siri.. Ni lazima uzingatie ufanano wa uhitaji wa jinsi nyengine Kama ilivyoumbika
 
Wakuu mambo

Nilianza kupiga nyeto 2009 nipo form one, mbaka nafika chuo bado najilipua, nimemaliza chuo bado najilipua

Ila kiukweli mbaka sasa hivi sijaona negative impacts yoyote, na kama show napiga show za kibabe, yani nipo fit sana kwenye swala la kugegeda, japokuwa na nyetuka.

Tena naona nyeto ndio inafanya mashine iwe strong balaaa, na pia inakuwa kimtindo.

Aisee hayo madhara mbona mimi sipati, sijui kuwahai kufika kileleni, mara sijui nini, mimi sipati hivyo vitu.

Madhara yapo wapi wanachama wenzangu??

Sent from my iPhone using JamiiForums
Madhara yapo. Mfano mtu ukishapiga badala ya kuandika neno MPAKA unaandika MBAKA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Demu wa kwenye nyeto ni mzuri sana akilinganishwa na hawa tunaowaona. Pia ni mtaaramu wa style zote kiasi kwamba katika real life hayupo. Sasa inaweza kukuwia ngumu kufanya vizuri uwapo na demu wa hapa duniani maana hana vigezo vya mademu wako wa chamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom