Leo walau nimeona kwanini sikuingia kwenye ndoa, kwenye mahusiano yangu yooteee niliyokiwa nayo ningali mschana nilikuwa nawaambia ukweli mwanzo kabisa wanaponitongoza....
Wa kwanza nilimwambia mie ni bikra Ila ukiitoa na tukaja kuoana ujue mapemaa hujaoa jembe, mie mvivu hatariii nafanya kazi nikijiskia....
Waliofuata wote nilikuwa nawaambia mie sio bikira na nimeachana na x (nawataja wote waliopita) namalizia na hiyo ya ukinioa ujue mapemaa hujaoa jembe, niko mvivu hatarii kazi zote nazijua Ila nafanya nikijiskia kuanzia sasa hivi kwenye mahusiano hadi huko tuendako....
Sikupenda kumdanganya mtu au kumhadaa halafu aje anianzishie uzi kama hivi, akuuu.
Kigakula sinia bachela.