TL. Marandu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 3,625
- 5,810
Kuna Msemo Unaosema Ufalme Ukifitinika Hauwezi Kusimama! Unabii huu soon utatimia Kwa CCM ya Tanzania, how soon? I can comfortably say within the next few years meaning Less than 10 years! Mark my words. Labda Jambo kubwa sana Litokee ku reverse hii trend ninayoiona.
Siombe CCM ife, Na hofu yangu ni Kwa Vile naamini Kuwa CCM kuna watu sio haba Wazuri tu na Wa Msaada kwa Nchi, Ila shaka hiyo miezi kama miwili imenitoka They will be Just Fine! Sina haja ya Kutoa Maelezo ya Kina hapa kwa Kuwa sitaki Kuwapa Faida nisiotaka waamke.
Ila ukitaka Kujua Nachosema Kukitokea Tena Mkutano Mkubwa wa CCM wasome body language wajumbe! This is just 5% ya Vigezo.
Kwa Kumalizia Niseme Kwamba CCM will collapse soon Under Magufuli Chairmanship is inevitable! The question is when.