Siogei tena vile visabuni vya gesti

Siogei tena vile visabuni vya gesti

Kiherehere chako kimekuponza yaani hata mzigo hujala eti unaoga.. wacha akupasue kabisa hayo ni matumizi mabaya ya madaraka yako
 
Umepigwa kofi na bi mkubwa...? Safi sana.
 
Morning all,
Niende kwenye mada moja moja.
Juzi nilikuwa na miadi na shori flani tukutane gest mitaa ya kati.
Mi nilitangulia kufika pale nikimsubiri huku nikipata konyagi nachanganya na valuu.
Mwisho nilipowasiliana nae ilikuwa ndo anakaribia kufika.
Nikaamua kulipia room na kuzama humo nikimsubiri shori.
Ebwanaee manzi si akayeyusha na nishakula hasara ya chumba..
Nikaona isiwe shida acha hata nioge ili nirudishe hata ela za chenji ya gest.
Nikazama bafuni nikakuta kile kisabuni cheupe ebwana kwa hasira nilikiogea hadi kikaisha na nyetoo juu.
Nimemaliza mida ya saa 2 usiku huyo nikajimuvuzisha hom na hasira zangu..
yaani nimefika sijaingia hata ndani nikaulizwa "ENHEE ULIKUWA GEST GANI LEO??!!"
nikabaki nimetumbua macho nikawekwa kofi moja matata sana akili ikarudi nikamjibu nilikuwa kaoshi.
Yaani hadi nimeondoka hom ugomvi haujaisha.
Kinachoniuma nimezinguliwa na shori na hom nimeharibu yaani nipo sieleweki.
Kuanzia leo nakuwa naenda na sabuni yangu gesti
😀😀😀😀 Pole
 
Mwanaume unatakiwa uwe na plan B,plan A ikibuma unaenda kwenye plan B.
 
Nayeye kavijuaje ivyo visabuni vya venue?. Mi sivitumii kama sijasafiri mbali na home wataalamu wanavitambua sana ivyo na harufu yake.
 
Morning all,
Niende kwenye mada moja moja.
Juzi nilikuwa na miadi na shori flani tukutane gest mitaa ya kati.
Mi nilitangulia kufika pale nikimsubiri huku nikipata konyagi nachanganya na valuu.
Mwisho nilipowasiliana nae ilikuwa ndo anakaribia kufika.
Nikaamua kulipia room na kuzama humo nikimsubiri shori.
Ebwanaee manzi si akayeyusha na nishakula hasara ya chumba..
Nikaona isiwe shida acha hata nioge ili nirudishe hata ela za chenji ya gest.
Nikazama bafuni nikakuta kile kisabuni cheupe ebwana kwa hasira nilikiogea hadi kikaisha na nyetoo juu.
Nimemaliza mida ya saa 2 usiku huyo nikajimuvuzisha hom na hasira zangu..
yaani nimefika sijaingia hata ndani nikaulizwa "ENHEE ULIKUWA GEST GANI LEO??!!"
nikabaki nimetumbua macho nikawekwa kofi moja matata sana akili ikarudi nikamjibu nilikuwa kaoshi.
Yaani hadi nimeondoka hom ugomvi haujaisha.
Kinachoniuma nimezinguliwa na shori na hom nimeharibu yaani nipo sieleweki.
Kuanzia leo nakuwa naenda na sabuni yangu gesti
Shida haiko kwako mkuu. Shida ni kwanini wife kaijua ilenharufu. Ukirudi mzingue na yeye
 
Kama una mke shori alikuwa wa kazi gani?
 
mkeo naye mkuda tu,sasa alijuaje kama hizo sabuni ni za guest???
 
pole mkuu ukavaa na zile ndala zilizokatwa ncha
 
Wife wako atakuwa mzoefu wa kuvitumia hivyo visabuni ndo maana kajua umetoka lodge, noma kwel kwel
 
Back
Top Bottom