adden
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 7,033
- 15,699
Morning all,
Niende kwenye mada moja moja.
Juzi nilikuwa na miadi na shori flani tukutane gest mitaa ya kati.
Mi nilitangulia kufika pale nikimsubiri huku nikipata konyagi nachanganya na valuu.
Mwisho nilipowasiliana nae ilikuwa ndo anakaribia kufika.
Nikaamua kulipia room na kuzama humo nikimsubiri shori.
Ebwanaee manzi si akayeyusha na nishakula hasara ya chumba..
Nikaona isiwe shida acha hata nioge ili nirudishe hata ela za chenji ya gest.
Nikazama bafuni nikakuta kile kisabuni cheupe ebwana kwa hasira nilikiogea hadi kikaisha na nyetoo juu.
Nimemaliza mida ya saa 2 usiku huyo nikajimuvuzisha hom na hasira zangu..
yaani nimefika sijaingia hata ndani nikaulizwa "ENHEE ULIKUWA GEST GANI LEO??!!"
nikabaki nimetumbua macho nikawekwa kofi moja matata sana akili ikarudi nikamjibu nilikuwa kaoshi.
Yaani hadi nimeondoka hom ugomvi haujaisha.
Kinachoniuma nimezinguliwa na shori na hom nimeharibu yaani nipo sieleweki.
Kuanzia leo nakuwa naenda na sabuni yangu gesti