Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,985
- 25,195
Mwakani nitaoa mkuu usiwe na shaka na kadi nitatoa kwa baadhi ya member hapa Jfnakushauri acha kwenda gest sasa uoe tu

usinikose hiyo harusi na mchango mkubwa sana nitatoa nakushiriki maana huwaga nafurahi sana kuona michango yako ya ajabu hapajfMwakani nitaoa mkuu usiwe na shaka na kadi nitatoa kwa baadhi ya member hapa Jf
Zile unaoshea Pu*m*b*u tu unaogea maji baridi bila kujipaka sabuni.Morning all,
Niende kwenye mada moja moja.
Juzi nilikuwa na miadi na shori flani tukutane gest mitaa ya kati.
Mi nilitangulia kufika pale nikimsubiri huku nikipata konyagi nachanganya na valuu.
Mwisho nilipowasiliana nae ilikuwa ndo anakaribia kufika.
Nikaamua kulipia room na kuzama humo nikimsubiri shori.
Ebwanaee manzi si akayeyusha na nishakula hasara ya chumba..
Nikaona isiwe shida acha hata nioge ili nirudishe hata ela za chenji ya gest.
Nikazama bafuni nikakuta kile kisabuni cheupe ebwana kwa hasira nilikiogea hadi kikaisha na nyetoo juu.
Nimemaliza mida ya saa 2 usiku huyo nikajimuvuzisha hom na hasira zangu..
yaani nimefika sijaingia hata ndani nikaulizwa "ENHEE ULIKUWA GEST GANI LEO??!!"
nikabaki nimetumbua macho nikawekwa kofi moja matata sana akili ikarudi nikamjibu nilikuwa kaoshi.
Yaani hadi nimeondoka hom ugomvi haujaisha.
Kinachoniuma nimezinguliwa na shori na hom nimeharibu yaani nipo sieleweki.
Kuanzia leo nakuwa naenda na sabuni yangu gesti
usinikose hiyo harusi na mchango mkubwa sana nitatoa nakushiriki maana huwaga nafurahi sana kuona michango yako ya ajabu hapajf

asante sana mkuuNakusave kwenye file ukifika muda nitakupa taarifa mkuu
Siku njema mkuuasante sana mkuu
nawewe pia bestSiku njema mkuu
Bora uwe waenda na sabuni yako
Hii stori ya kutunga kama siyo ujue na mkeo huwa anaogea hizo sabuni huko gesti yeye alijuaje kuwa ni harufu ya sabuni ya gest?Morning all,
Niende kwenye mada moja moja.
Juzi nilikuwa na miadi na shori flani tukutane gest mitaa ya kati.
Mi nilitangulia kufika pale nikimsubiri huku nikipata konyagi nachanganya na valuu.
Mwisho nilipowasiliana nae ilikuwa ndo anakaribia kufika.
Nikaamua kulipia room na kuzama humo nikimsubiri shori.
Ebwanaee manzi si akayeyusha na nishakula hasara ya chumba..
Nikaona isiwe shida acha hata nioge ili nirudishe hata ela za chenji ya gest.
Nikazama bafuni nikakuta kile kisabuni cheupe ebwana kwa hasira nilikiogea hadi kikaisha na nyetoo juu.
Nimemaliza mida ya saa 2 usiku huyo nikajimuvuzisha hom na hasira zangu..
yaani nimefika sijaingia hata ndani nikaulizwa "ENHEE ULIKUWA GEST GANI LEO??!!"
nikabaki nimetumbua macho nikawekwa kofi moja matata sana akili ikarudi nikamjibu nilikuwa kaoshi.
Yaani hadi nimeondoka hom ugomvi haujaisha.
Kinachoniuma nimezinguliwa na shori na hom nimeharibu yaani nipo sieleweki.
Kuanzia leo nakuwa naenda na sabuni yangu gesti
Sio abebe anayotumia na mkewe?Haha kimagadi bado kitatoa harufu
Abebe b29
Mwambie ulijiharishia so ukaomba kujisitiri kwa kuoga kwenye gest ya karibu...