Kwa wanaolewa sifa ila binafsi hapana.Umeona!
Kumbe sifa zinaweza kukufanya "ujae kwenye mfumo"😅😅
Kwa sifa Wahaya ni habari nyingine. Hata humu JF chunguza tu utaona 😁😁😁🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️Wee mpe hela sifa waachie wahaya
Biya gete!😁😁😁Nadhani kuna utofauti kati ya sifa na "majivuno"
Kwa engo hiyo sawaSifa unaweza kuzipuuza kulingana na anaekusifia, niamini mimi.. ukisifiwa na mtu mkubwa unachachawa (mkurugenzi,raisi nk) !!
😅😅😅Too muchKwa sifa Wahaya ni habari nyingine. Hata humu JF chunguza tu utaona 😁😁😁🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️
View attachment 2818879