Kuchepuka sio vyema kabisa,tena na rafiki wa mwenza wako???
Na sisi wanaume tulivyo wakorofi hapo si ajabu hapo jamaa akirudi home mwanamke atachezea kipigo,wakati na jamaa nae katoka chepuka.
Kachepuka,akasahau mkewe nae anaweza chepukwa pia.
Tujaribu ridhika na kuviboresha tulivyonavyo ndani.