Usiolewe kwani lazima
ukiona hivyo ujue jamaa anampiga mkewe au demu wakekwani kazungumzia kuolewa? tuambiane kwa busara jamani khaa!
ukiona hivyo ujue jamaa anampiga mkewe au demu wake
Una maanisha kweli au unanogesha jukwaa/Mwanamke hata akikuudhi vipi hapaswi kupigwa. Akinuna wewe mchekeshe, akikasirika wewe mletee utani au masihara. Akiongea wewe mtanie. Akirusha ngumi wewe mkumbatie na akilia wewe msindikize kwa mabusu na ile issue ya faragha.
Mwanamke hata akikuudhi vipi hapaswi kupigwa. Akinuna wewe mchekeshe, akikasirika wewe mletee utani au masihara. Akiongea wewe mtanie. Akirusha ngumi wewe mkumbatie na akilia wewe msindikize kwa mabusu na ile issue ya faragha.
mkuu akirusha ngumi we ikinge na uso, si unampenda.
Mpaka hiyo ngumi ya uso ikupate itakuwa bahati mbaya, kwa sababu kitendo cha kumuwahi kumshika mikono na kumkumbatia hatoweza tena kurusha ngumi yoyote.