:smile-big::smile-big::smile-big::smile-big::smile-big😀aaaaah hiyo kali! Ilibidi atake kujua kama ni kusuka tu au ana uvimbe wa kichwa hivyo anatakiwa hela ya matibabu!!! Hiyo Kali sana. Na asipotoa wenzie watamtolea hapo inageuka kazi nyingine tena:smile-big::smile-big::smile-big: