Sio uungwana kutusi dini ya mwenzio

Status
Not open for further replies.
Asiyetaka kukubali Tanzania ni nchi ya amani ikilinganishwa na nchi za Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati ni mjinga kielimu na ufahamu kwani yamtosha tu asome magazeti na kusikiliza habari atalijua hilo.
 
unajua kuna watu humu wanadhan haya majina ya kafir na yahudi yametungwa na shekhe ponda.ni majina ambayo mungu aliwachagulia mlioko against naye.

haaa wa TZ tuendako c.kuzuri kwa hizi CHOKOCHOKO. kwani INDIA na PAKSITAN walianza kama sis leo wametengana na ni maadui wakubwa kisa ni UDINI je wapo wanao elewa ivyooo!!!!"!"!
 
haaa wa TZ tuendako c.kuzuri kwa hizi CHOKOCHOKO. kwani INDIA na PAKSITAN walianza kama sis leo wametengana na ni maadui wakubwa kisa ni UDINI je wapo wanao elewa ivyooo!!!!"!"!
wanaelewa lakini udini umewatawala
 
matusi umeyaanza mwenyewe mie nimekuuliza tu huo ushuzi we huna, au wanya keki?

Ujinga huu unaouendeleza hii ndo akili yako halisi sasa..uliyotumia kuanzishia thread sio akili yako umesoma tahariri gazetin umekuja kupest hapa navyoona! N way I apologize km neno nlilotoa mwanzoni umelitafsiri km tusi
 
Mwanangu Mdau wetu uko sahihi. Pande zote zinazotukanana ni wachafu. Wanazini, wanakula pesa ya ufisadi, wanadanganya na kuwahadaa waumini. Adui mkubwa wa muislam au mkristo si mwingine bali yeye mwenyewe. Kama tutajipa muda wa kujichunguza kwa kufuata imani zetu, hakuna mwenye muda wa kuweza kupambana na mwenzake wakati anapaswa kupambana na nafsi yake. Ukiweza soma kitabu cha Desiderius Erasmus cha In Praise of Folly utajua nimaanishacho.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…