Na waislamu tuache kuwaita ndugu zetu wakristo kwenye mihadhara yetu kuwa ni makafiri .
Pia wayahudi tuache kuwaita mayahudi hebu tujaribu kufikiri kama sisi pia tukiitwa MAISLAMU itapendeza?
Mtoa maada labda kabla ujaendelea kudanganya umma..unasema watanzania " watanzania tunasifika kwa ukarimu, uungwana, kuhurumiana na kuishi kwa amani baina yetu" ACHA kuudanganya umma Mungu apendi! Tunasifika wapi?km kuna wanokuambia hivyo jua wanakukejeli..watanzania tunasifik kwa rushwa, kwa ujinga(mtoto wa fom 4 ajui kusoma),kwa chuki (tunaua albino,vikongwe,tunachoma makanisa,tunamwagiana tindikali), tunasifika kwa kua wabinafsi viongoz wanajali familia zao...ulianza vizuri ila wew inaonesha ni mvivu hutaki kufikiri unachukua kauli mbiu za mwaka 1967 unazileta JF..haya maneno peleka facebook!
kumbe!! nilidhani Jumapili imekaribia
Ni jambo la busara kuheshimiana kwa kila jambo. Ila tatizo linakuja pale upande mmoja unapojipa haki ya kutukana wengine na dini zao. Hao hao watukanaji wakiguswa wanakuja juu wakati wao ndiyo walimu wa matushi. Huwa nachukia mihadhara ya matusi inayoendeshwa na wapumbavu wanaojiita waislam wakati ni makafiri namba moja. Mtume hakutukana dini ya mtu. Kwanini watu hawasomi surat Kaffirun?
kuvunja kanisa na kuchana chana bile ni fresh?
Mtoa maada labda kabla ujaendelea kudanganya umma..unasema watanzania " watanzania tunasifika kwa ukarimu, uungwana, kuhurumiana na kuishi kwa amani baina yetu" ACHA kuudanganya umma Mungu apendi! Tunasifika wapi?km kuna wanokuambia hivyo jua wanakukejeli..watanzania tunasifik kwa rushwa, kwa ujinga(mtoto wa fom 4 ajui kusoma),kwa chuki (tunaua albino,vikongwe,tunachoma makanisa,tunamwagiana tindikali), tunasifika kwa kua wabinafsi viongoz wanajali familia zao...ulianza vizuri ila wew inaonesha ni mvivu hutaki kufikiri unachukua kauli mbiu za mwaka 1967 unazileta JF..haya maneno peleka facebook!
KAFIR AU YAHUDI sio majina ya kutunga ni majina haswaa wanayostahiki kuitwa hao na yapo katika vitabu vitakatifu tangu enzi hizoo,sasa hauwezi badili eti mbwa mwitu ukamuita kondoo...so wala wasichukie kuitwa makafir ndo sifa yao wasikatae.asiyetaka sasa asilimu!!
Ni jambo la busara kuheshimiana kwa kila jambo. Ila tatizo linakuja pale upande mmoja unapojipa haki ya kutukana wengine na dini zao. Hao hao watukanaji wakiguswa wanakuja juu wakati wao ndiyo walimu wa matushi. Huwa nachukia mihadhara ya matusi inayoendeshwa na wapumbavu wanaojiita waislam wakati ni makafiri namba moja. Mtume hakutukana dini ya mtu. Kwanini watu hawasomi surat Kaffirun?
Mkuu.. Umetoa wazo zuri mwanzo mbona tena waonyesha udhaifu na kukosa subra..?
Acha kutoka mapovu kwa ushuzi unaotoa..wew unajuaje sijazunguka nchi nyingine? Unasema hamna mtu asiyesiyefaam kama tanzania ni nchi ya amani..wapo wasiofaam mimi apa sifaamu! Nyie wafuasi wa ponda na faridi nyie yamewashinda mitaani,kwenye mashina na vitongoji mnakuja kutusumbua huku JF kwa unafiki wakati nyie ndo mliokua nambari moja kushadadia udini usifikiri hatuwajui..ni maarufu wakuzaji wa mambo nyie.
unajua kuna watu humu wanadhan haya majina ya kafir na yahudi yametungwa na shekhe ponda.ni majina ambayo mungu aliwachagulia mlioko against naye.