The navi 2
JF-Expert Member
- Aug 31, 2013
- 352
- 46
Wa tanga nini wewe?
mma mmanyani...une ghwa ikisu kyosa
Mbombongafu!
Tanga wanadai ni wataalam
sasa nimegundua mko mwingine bandugu
MBEYA
Hahahahah ushawai wekwa mbupu zako kwenye kisosi weweeee?
Hahahahah ushawai wekwa mbupu zako kwenye kisosi weweeee?
wewe watoto wa tanga hatari ukimaliza mippumbu yako inawekwa kwenye kisosi na maji ya vuguvugu ukitota hapo kitu unaendelea naona wewe hujui wewe aii
siyo pointi iyo.. .(Kisosi) mnachafua vyombo hapo.werevu mwingi kufa kwaja
Kwa hiyo zikiwekwa kwenye kisosi kinaongezeka nini?
Rejea kichwa cha habari hapo juu, mimi ninaamini sio Tanga tu ndio eneo pekee wanaojua mapenzi. Hata hapa kwetu MBEYA wapo mabinti wengi wanojua mpaenzi tena zaidi ya watu wa Tanga nina ushuuda wa vijana wengi kutoka mikoa mbalimbali sasa wanakimbilia mbeya kuwaoa mabinti wa Mbeya.
Ushauri wangu ukiona una hangaika wapi utapata mpenzi hodari na atakaye kufurahisha karibu sana mbeya: mapenzi zaidi ya tanga