Hali zenyu bhana! Hope hamjambo wanajamii wenzangu. mimi ni ke nina b/f wangu yupo mkoani. To be honestly ninampenda jamani. Tatizo ni kwamba yeye haoneshi kama ananipenda. Naweza m-call hata cku tatu mfululizo yeye wala hata hastuki akacall back, najikaza ili aanze lakini najikuta tu mi ndo naanza kumpigia ili tu roho yangu iridhike, nashindwa kujicontrol.. sms ndo kwanza mpaka nimuulize umepata sms yangu ndo anakujibu, TENA jibu lenye la kawaida sana kama anamjibi man mwenzie. NATAMANI KUSIKIA I LOVE, NATAMANI KUSIKIA I MISS U, NATAMANI MANENO MATAMU YA KIMAPENZI TOKA KWA MTU NINAYEMPENDA. lakini siyapati naumia natamani kuachana naye ila roho yangu bado inampenda kwa kweli. Me binafsi napenda sana kuchat, kuongea hasa nyakati za ucku ukizingatia tupo mbali walau tupeane pole, tuambiane maneno matamu matamu ila yeye mkavu sana katika maongezi cjui hani-feel??? Tena ndio huwa wa kwanza kuaga utadhani kapiga yeye. Nashindwa kupata jibu yuko upande gani, nikijaribu kuumuuliza anasema yuko sawa. Mara nyingi hana story jamani nifanyeje........ naumia kwa kweli........
hapo sawa ntajitahidi may be nikipata likizo make yupo mkoani!
Karibu sana Mamy D kwa familia yetu,na huyo ndio babu yetu,Babu kikweli nilikuwa wala sijui namna ya kutumia hii forum hata kujiunga ni rafiki yangu kanisaidia na hata sasa kuna mengi sijayajua ila kila nikimuliza ananisaidia hata like nimeshaweza kugonga,
Nisamehe babu sio vituko tena ni busara,kukaguliwa ndio inakuwaje?
Bado kijana mdogo sana....
Ngoja nikuambie kitu..... umri wako unakuruhusu kuwa na subira kuja kumpata akupendaye... Bila kukuficha huyo hakupendi! Two good years mtu anakuzengua nawe wajiaminisha iko siku atabadilika? Over my dead body! Na umri huu nimeshayashuhudia mengi...
Raha ya mapenzi ni KUPENDANA!.......Hakuna adhabu kubwa hapa duniani na ahera kama KUPENDA PASIPOPENDEKA.... Stuka before its too late! Usije ukasema sijakuambia, shauri zako.
Na hili ndilo neno la Babu ODM
Hongera zako mwaya, me kuzipata hizo mpk cjui mvua inyeshe! mpk nahisi cjui huwa kuna mtu ambaye huwa anamwambia me ananibania
U knw what sister,nayajua maumivu hayo coz nina uzoefu nayo,tofauti ni moja tu wewe ni mwanamke mimi ni mwanaume,niliwahi kukutana na vituko hivyo sio kwa mwanamke mmoja bali wote niliokua nao mpaka nimeamua kukaa benchi kwanza na am happy now!Tatizo ulilonalo ni kuwa unataka huyo bf wako akupe furaha kitu ambacho ni kigumu sana,furaha unajipa mwenyewe,na maumivu yanaongezeka zaidi coz unayatabiri matokeo ya ukimya wake kuwa ni hasi na unayaogopa ndo maana unashindwa kuacha kumpigia,unaogopa atakuacha na unahisi hakupendi na wewe hayo hutaki kabisa kusikia,fahamu furaha haiwezi kuletwa na yoyete bali wewe mwenyewe,pia huna haja ya kuogopa pale unapojua hali si shwari,mwambie,asipojirekebisha fikiria upya kama unahitaji kuendelea kwenye huo uhusiano.Ukishindwa kuchukua hatua hiyo fahamu kuwa haupo mapenzini bali una tatizo la kutojiamini na ni mtegemezi wa hisia,unahitaji ushauri!By the way,pole sana!
nawe mkatie tu mawasiliano tuanzishe yetu. Au unaonaje. Mapenzi si kovu useme huwezi kumfuta akilini
Inawezekana ni mfanyakaz huyo boy wako.Mambo ya chartin niya ki primary mdada,take a cal tu.
Mim nina gf a wik kan pas without mawasiliano,na si kwamba hatupendan,majukumu yanatufanya kuwa hivyo..
Asante dada kwa upendo wenu nami nimekubali kuwa mwanafamilia mwenzenu.Karibu sana Mamy D kwa familia yetu,na huyo ndio babu yetu,
Sie tuna upendo kwa kila mtu nawe babu keshakuchagua na kunipa jukumu la kukaribisha karibu sana,
Kadri muda utakavoenda utawafahamu na ndugu zetu wengine tupo wengi sana ila usijali watakupokea na kukupenda pia,
Hiyo ishu ya kukaguliwa hope babu atakujibu mwenyewe, ila usiogope kwani km ujuavo babu na mjukuu ni full raha.
for sure nahitaji ushauri tena sana ndo maana nimekuja hapa
Ucjali my swty Babu,huyu inaonekana alishaizimia familia yetu tangu akiwa km guest,nilimkaribisha JF,
Sasa ngoja nitamtambulisha kwa familia yetu na kitakachofata ni ukaguzi wako babu then anakuwa mwana familia kamili lol!
Babu kikweli nilikuwa wala sijui namna ya kutumia hii forum hata kujiunga ni rafiki yangu kanisaidia na hata sasa kuna mengi sijayajua ila kila nikimuliza ananisaidia hata like nimeshaweza kugonga,
Nisamehe babu sio vituko tena ni busara,kukaguliwa ndio inakuwaje?
Karibu sana Mamy D kwa familia yetu,na huyo ndio babu yetu,
Sie tuna upendo kwa kila mtu nawe babu keshakuchagua na kunipa jukumu la kukaribisha karibu sana,
Kadri muda utakavoenda utawafahamu na ndugu zetu wengine tupo wengi sana ila usijali watakupokea na kukupenda pia,
Hiyo ishu ya kukaguliwa hope babu atakujibu mwenyewe, ila usiogope kwani km ujuavo babu na mjukuu ni full raha.
Well well well........ So far so good!:eyebrows:πoaπhoto:πhoto:Asante dada kwa upendo wenu nami nimekubali kuwa mwanafamilia mwenzenu.
To start with, delete jina lake kwenye phonebook yako..... Ukishadelete niambie.?Ntajitahidi babu yangu...ila nashindwa. hebu nipe mbinu ya kuachana nae!
Kama ndivyo alivyo basi hapo wewe ndiye muamuzi wa mwisho, coz ni wewe ndiye utakayeishi naye milele na kifo tu kuwatenganisha, kama utaweza kumvumilia basi endelea naye kama unaona hatokufaa basi you better quit mapema coz umri wako bado ni mdogo sanaOf cos ndivyo alivyo, ukimsema cku mbili atabadilika ila zinazofatia anarudi msari ule ule.... Dah yan nahisi kuchoka et. Tena nikiona wenzangu the way wanavyokuwa treated na bf zao ndo kabisaaaa natamani na wangu anitreat hivo ila hawezi....