Sio Rwanda tu! Hata Bongo wapo!

Dadake anamtafuta sana! nitumie namba yake kwa PM nim inmform fasta fasta kabla mvua haijakatika!

Wanapatikana mitaa ya sinza mori....piga misele area hizo nearby Wanyama hotel

Sent from my WhiteBerry using JamiiForums
 
Hao n wale form six wanaoenda jkt kabla ya kujiunga vyuo vikuu ,na hao wako jkt kanembwa 821 ,huko kibondo kigoma
 
Wanapatikana mitaa ya sinza mori....piga misele area hizo nearby Wanyama hotel

Sent from my WhiteBerry using JamiiForums

Niko kanda ya mbali sana na pwani.. kama vipi we jongea pm then tufanye mambo na hao maafande.

dada yao keshamaliza kwani? au uko nae bado?
 
nani kasema jeshi letu halina warembo?

Sasa ona hii..


Huwa ni tutamuuuuu, si wajuwa misuli hujijenga sehemu zote wakati wa mazoezi!
usiombee ukutane na polisi, mgambo, mjeda au hata wa tiss au hata wa pccb au hata wa magereza!
Hakyamungu utaacha funguo.
 
Niko kanda ya mbali sana na pwani.. kama vipi we jongea pm then tufanye mambo na hao maafande.

dada yao keshamaliza kwani? au uko nae bado?

Hahaah, huko umeenda mbali sana ndugu, nameza baadhi ya comment zangu!

Dada yake alimaliza campoo 2012 au 2013 siko sure!

But kama wewe ni mtu wa kufanya unayonena kwa hiyo info kidogo niliyotoa mbona ni zaidi ya ramani ya ushindi vitani? Picha ipo,mtaa upo! Kuna nini tena? Fanya hima uende huko Daslam utamaliza mambo yote huko!

Sent from my WhiteBerry using JamiiForums
 
Mkuu umenipa nyota, kazi yangu ni kuivaa tu! ngoja november hii niibuke na fastest and cheapest flight in africa.!

Lakini mkuu hurumia hii mtu... ipe namba ya dada mkubwa! lol...

Mkuu hata salamu haigombi bhana...!

karibu sana PM kwa majaribio!
 
Huwa ni tutamuuuuu, si wajuwa misuli hujijenga sehemu zote wakati wa mazoezi!
usiombee ukutane na polisi, mgambo, mjeda au hata wa tiss au hata wa pccb au hata wa magereza!
Hakyamungu utaacha funguo.

mkuu unaweza kuta unagegedwa wewe dadeki.. unakunjwa kila angle unaishia kugugumia maumivu! :wacko:

hawa kuwatenda itakuwa ni ngumu sana! inabidi huu mpango wa jeshi ubebe mabinti wengi zaidi uwapunguzie maumivu ya mapenzi na kuumizwa umizwa!
 
Hawa ndio voda fasta au .........?
 
Hahahahaaa!!!!Mkuu bysange hebu fanya mpango unipe Grid location ya huyo dada wa katikati nina barua yake aisee!!!

Looooooo!!!!
Tized hapa unaweza kuzima gari katikati ya barabara iliuonekane unakosa
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…