pipikijiti
JF-Expert Member
- Apr 25, 2017
- 309
- 406
labda akivaa hizo mzuka unapanda... msumbiji wanaume kuvaa shanga jambo la kawaida sana
Mkuu ulishakutana na mmoja wapolabda akivaa hizo mzuka unapanda... msumbiji wanaume kuvaa shanga jambo la kawaida sana
hapana ila rafiki yangu alikuwa na bf wa huko shanga kama kawaMkuu ulishakutana na mmoja wapo
Ah ah ah Nimecheka Sana atheelabda akivaa hizo mzuka unapanda... msumbiji wanaume kuvaa shanga jambo la kawaida sana
hahahaAh ah ah Nimecheka Sana athee
Inaonekana wewe mzoefu sana eeehh...??hahaha
hapana nilikuwa nashangaa wanaume wa msumbiji wengi wanamakalio makubwa best yangu alivyoniambia wanavaa shanga na ni kawaida duh kweli wanafaidi wapenzi waoInaonekana wewe mzoefu sana eeehh...??
hapana ila rafiki yangu alikuwa na bf wa huko shanga kama kawa
Kiukweri Mwanaume Wa Kiafrika kuvaa shanga Haipendezihapana nilikuwa nashangaa wanaume wa msumbiji wengi wanamakalio makubwa best yangu alivyoniambia wanavaa shanga na ni kawaida duh kweli wanafaidi wapenzi wao
tamaduni zao tuKiukweri Mwanaume Wa Kiafrika kuvaa shanga Haipendezi
Naisi Kuna lingine linalosababisha wavae
ndiyo mkuuUmerudisha mpira kwa kipa
si mchezoHahahaha!!
Dah!!Kazi kweli kweli