You can go to hell with your uchwaraMan in Black,weka mbali na wapiga dili(samahani nawatania tu)
View attachment 442208
Uko sahihi... Kwa kupiga ela za wahanga na rambi rambi kweli anatunyoosha!! Hasa wale maskini ndio wanaisoma nambaTutamkebehi sana tutamtukana sana lakini ukweli upo pale pale anatunyoosha kisawa sawa
Usipende kuanzisha uzi wa kijinga kama huu sawa?Mkuu,tafadhali bana
Wapiga dili nimeambiwa niwaulize huyo ndio nani?Waulize wapiga dili watakupatua jibu
Hahaha basi lp iloKumbe vile vioo vya basi vilipatikana.