Sio Mie Jamani ni Ujumbe

Sio Mie Jamani ni Ujumbe

MwanajamiiOne

Platinum Member
Joined
Jul 24, 2008
Posts
10,470
Reaction score
6,586
Eti ujumbe wa wanawake wenye kuiba waume za watu, Eti aache, eti kahangaika nae mwaka jana wooote huyo Bwana kama anakupenda kweli hajamwacha mkewe unadhani mwaka huu utafanikiwa? Eti wengine bado waenda roga ili waolewe wao, jamani ndumba za mwaka jana umezivaa kiunonimpaka zimeota kutu bado wavaa nyingine eh. Mie huyu Bi Hindu leo kanchekesha hadi nalia machozi. Na hapa katuasa sote wake kwa waume; mwanaume mwache mke wa mtu ulokuwa naye na mwanamke amwache mume wa mwenzie na mwenzie apumzike na kuifurahia ndoa yake ah.................... nimechoka mie. Ila nimejiuliza kwani wote wanaotembea na waume za watu lengo lao ni kupindua wenzao au ndo mambo ya kuutilize to hii MBA resource (Married But Available) ambayo siku hizi sio scarce tena?
 
Haya na sasa anawageukia wakaka mnaovaa kibitozi na kukodisha magari kuwazugia wake na watoto za watu, hahahah eti wanajiongoea kazi eti "Mi niko ikulu, lakini usintaje" hahahhah kumbe uwongo. Mbadilike hayo ya mwaka jana muyaacheee.
 
mmmmh kazi kweli kweli
 
Attachments

  • IMG-20130516-WA0008.jpg
    IMG-20130516-WA0008.jpg
    81.4 KB · Views: 432
Hahhaha eti mkaka anaenda kijiweni akimkuta mwenzake na gari jipya basi anamwomba kulijaribu kasha vruuuuuu kwako wewe bi Hidaya, ukimwona we ah bichwa lakuvimba ka fenesi inakutoka "mh huyu naye kwa kubadilisha magari!! jino pembe. Akifika anakwambia Babi vipi, ah hata sishuki nawai eapoti kumpokea "Mzee" hahahahhah nawe unaamini jamani mie umbeya huu utaniua leo
 
Hahahah ayaaa wanaume wa Tanga sasa wachambuliwa akhuu leo Bi Hindu kaja kakivuta hata si bure walah
 
Ngumu kumesaaaa,wenye maskio wameskia,mume wa mtu anakutumia na c kwamba anakupenda,angekupenda angemuacha mke wake akuoe wewe,pia wakumbuke moyo ni mmoja!
 
mmmmh kazi kweli kweli
Maneno ya ukweli wangekuwa wanasikia wangebadilika......utawasikia "wanaume wamezidi kutongoza kwani akikutongoza ukakataa atakubaka? na unajua kabisa ni mume wa mtu,ila wengine ndo wanachukua advantage kuolewa kitu kingine bwana huwa wanataka kujiupgrade angalau naye aolewe,mwanaume kwa mke wake hajawahiomba tigo lakini kimada anatoa tena bila kuombwa,wengine toka wameanza kutoa hiyo kabang hata ahadi ya kununuliwa kiwanja tu hawajapewa na kabang wametoa mwaka mzima halafu huku akitapa kuwa amemkamata mume wa mtu jamani..........bila kutumia akili kabang italiwa na kiwanja usinulnuliwe akikuchoka anarudi kwa mkewe anajitilisha huruma mkewe anamsamehe na maisha yanaendela!
 
...........Umeona eh Daudi1 ................... kiini cha mabadiliko ni mwanamke lakinii bado tunakuwa wagumu kuelewa. Eh Mwenyezi MUNGU tusaidie tujitambue.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom