queenlishas
JF-Expert Member
- May 25, 2014
- 288
- 76
Mmh.yangu inaishia na 6
yangu inaishia na nukta [.]
UJUMBE HUU SI WANGU NA UKIUPATA USIUMIE NIMEAMBIWA NIUTUME KWA WATU WENGI:
kama namba yako ya simu inaishia na
0-mapepe
1-mtamu
2-mkweli
3-anajua mapenzi
4-anapenda ngono
5-mcheshi
6-mtaalamu kitandan
7-ana wapenzi wengi
8-bla blaa nyingi
9-mwaminifu
WEWE NAMBA YAKO YA SIMU INAISHIA NA NGAPI?
Ukumbuke kuangalia ya mzaz na mpenzi wako.
Zangu ni 1 na 4,ni shiida!!
yangu inaishia na nukta [.]