SIO MECHI YA KIRAFIKI TENA KWA AS VITA BILA KUJALI WAPO UGENINI, NI MECHI YA KISASI

Singida ndio home

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,191
3,353
Kwa ule upuuzi makomandoo wa mikia waliofanyia as vita umebadilisha mechi kuwa ya kulipiza kisasi na sio yenye lengo la kucheza kirafiki na kwa adabu ugenini.

Leo tujiandae kwa vituko vya aina yoyote maana as vita washajua mapema simba wanatafuta matokeo ya kushinda hata kwa ndumba na kupulizia dawa za uchovu vyumba vya kupumzika uwanjani, huko vyumba vya kupumzika kunaweza kusiingilike half time na wachezaji wa asvita kupumzika uwanjani kwa kuhofia kupuliziwa dawa maana simba ameshaonyesha kucha mapema.

Mechi hii usishangae kabisa zikichapwa kavu, Jana tayari mshabiki wa simba alitembezewa kipigo na wana as vita baada ya kuingia uwanjani katika mazoezi yasiyomuhusu.

Pia uwezekano wa uwepo wa zahera ni mkubwa mno katika hii match na zaidi ya hapo zahera unaweza akawapa sapoti kimafumbo au direct club ya as vita kwa sababu ya vita baridi aliyoanzisha msemaji akili njegere maneno tani almaarufu hajis manara

Hapa Leo usishangae hata kidogo simba ikiaga mashindano kwa khamsa zitazotupiwa kwa hasira kama vile dem anaekubali kwenda geto kwa mshkaji ambaye kamfukuzia miaka mitano
 
Acha kuongeza thread zote hizo ila tukutane saa moja kwa mchina

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo umeandika nini sasa?? Jenga hoja acha mihemko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom