SIO MCHINA JAMANI HUYU NI Orignal

Hahahahahah lol! Mchina muharibifu sana kafanya watu washindwe kujua kama kitu ni real au kitu mchina. Kabla mchina hajavamia hili soko ulikuwa ukiona kitu basi moja kwa moja unajua ni kitu real. Kule Brazil wakaanza kuchongesha kwa kutumia visu. Mchina kuona warembo wanavyopenda hii kitu ya kuchongesha basi akaona isiwe tabu hapa biashara kubwa na faida ni mabilioni. Kwa wale waoga wa visu mchina akazuka na kitu cha kujisiliba tu kwenye makalio na makalio yanaanza kuumuka kama yametiwa hamira. Sasa tabu tupu njemba zikiona kitu swali la kwanza hiki kitu ni real, kimechongwa na visu au ni mchina kafanya vitu vyake.
 
 
yule jamaa aliyekuwa anafanya analysis ya photoshop kwenye picha ya afande aje hapa ndo mahala pake
 
Neema za allah swabahana wataala...
 
Sasa wewe unaitafuta ban...Mie simoooooooooo 🙂🙂
Mkuu BAK labda ninamtafuta Mr Ban Ki-moon


Ndio huyu nini mimi ninamtafuta? Au umekusudia kitu gani? Kwani moderator wa humu ndani ni mpenzi wa Yanga nini?
 
Reactions: BAK
​Hahahahaha lol! Unajua kugeuza maneno weye!! Haya mtafute Ban ki mwezi.
 
Inadaiwa imeshasainiwa lakini haijulikani lini itaanza kutumika, sijui kwanini wanaficha hiyo tarehe. Pia vifungu ambavyo vilikuwa vinalalamikiwa sana vimefanyiwa mabadiliko lakini hawajasema ni vifungu vipi!? Hapa bado tunajirusha na majina bandia. Kutakuwa na kazi kubwa sana ya kufanya uhakiki wa majina ya kweli pale JF itakapotakiwa kuachana na majina bandia na kuanza kutumia majina ya kweli. Wengi wataishia kusepa.

Nimesikia Mkuu wa nchi amesha tia Saini Sheria za kuzibana Mitandao ya Media ? Ni kweli Mkuu BAK?
 
Ndio acheni tena kuwalaumu Viongozi kwa ufisadi waacheni munyamazeni mpaka wakati wa uchaguzi ndio munawachaguwa Viongozi munaowataka waacheni Viongozi wafanye wanavyotaka hakuna uhuru wa maoni hapo nchini Tanzania. Hakuna Demokrasia ya ukweli hapo nchini kwetu.
 

Shdaaaaaaaaaaa
 

Attachments

  • IMG-20150508-WA0073.jpg
    24.2 KB · Views: 698
  • IMG_9582674694209.jpeg
    41.9 KB · Views: 657
Wapangajiimajaribuu onamwoshavyombojamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…