Sio mbaya kunyonyesha hadharani, lakini sio kama hivi!

Popote njaa haijui ulipo. Mtoto amelia mno na safari ni ndefu, dalili za mvua hizo hapo, mtasubiri mtoto anyonye au? Naamini Mr. ndiye awe mwangalifu asiwadondoshe kwa mabreki ya ghafula. Mtoto anatulizwa kidogo tu wafike home. Nakuaminia mamaaa
 
Baba mtoto amekosea sana alitakiwa asimamishe chombo kwanza kisha mama amnyonyeshe mtoto baada ya hapo waendelee na safari.

Mama na mtoto hawana kinga yoyote baba amejizatiti yeye tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…