Awuot
JF-Expert Member
- Nov 10, 2018
- 1,172
- 1,407
Hahahahaha!!! Huyu anaekamukiwa kichwa itakua aliunga juhudi katokea upinzani sasa wanamkamua watowe ubongo wenye akili abaki empty set ili wainstal kitu cha ccm mupya. Ila maumivu yake ni balaa akitoka hapo msiniulize kifuatacho itv2.ccm kuna watu na viatu
View attachment 963904