Sio Lazima Muende Saloon

umenikumbusha enzi za kuchoma nywele kwa kutumia chungu...hasa wakati wa sikukuu ilikuwa unachomwa nywele ili iwe kama umetia relaxer wenyewe tulikuwa tunaita "kufa kifasheni"
 
Enzi zetu tulikuwa tunatumia kibati unaweka kwenye moto kunyosha nywele
 
ha ha ha haaa!!! ananyoosha nywele aua anaunguza nywele?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…