Mkuu mimi naona Sururu na tindo....hao lazima wana ccm, jembe na nyundo,...?
hahahaaaaaaa hii inaitwa dont try it...Jamani si lazima twende baharini siku za harusi nasisitiza...
Jamani si lazima twende baharini siku za harusi nasisitiza...
hahahaaaaaaa hii inaitwa dont try it...
Nice pic. of the Century...Jamani si lazima twende baharini siku za harusi nasisitiza...
Mkuu sasa hao ndo wamefunika....
...hao lazima wana ccm, jembe na nyundo,...?
mkuu mbona jembe halipo?
by the way, jembe la nini hapo?