Siku zinavyo zidi kwenda na mambo yanazidi kubadilika,zamani ukienda kwa mganga wa kienyeji atakufunga hirizi na kukuchanja chale mwilini ila baada ya maendeleo na mapinduzi makubwa na ya muda mfupi ya science na technolojia,waganga nao wamedilika sana kuendana na wakati sasaivi unaweza ukavishwa mkufu,saa,hereni,miwani,kofia au bangili zingine zikiwa na rangi za bendera za mataifa mbalimbali duniani ila zikiwa na madhumuni mbalimbali kulingana na mahitaji ya muhusika. Ili ujue hayo inakupasa uwe na macho ya rohoni.
Hapa mpaka nilipue kitu 🔥😆Sema neno najua una maarifa au mpaka bapa 😂
Blood
Aah ndugu yangu.....Hapa mpaka nilipue kitu 🔥😆
Sina maarifa kwenye hii angle.Aah ndugu yangu.....
Nambie kwenye Pete ya watu wa mizani (♎) Pete nzuri ni ya kutengeneza kwa sonara hizi za kununua zipoje?
Okay htr sana bruhSina maarifa kwenye hii angle.
Huyu jamaa hatari, Huwa ananunua mpaka maji ya kuoshea maiti.
Labda mkuu Manyanza ajibie hillo.
Elimu za kwenye pafulet/Muqarara ndo Kama hiziTahadhari kwa waislam wenzangu ukimkuta sheikh na mipete kibao alaf akadai kuwa ni ulinzi/kinga huyo ni mshirikina muepuke.. kinga kwetu ni adhkaar tu. Ova
Dah ni Elimu Pana Sana bahati mbaya unanjua vizuri Mimi si muandishi kabisa inabidi uwe unakuja nakupa Elimu Kisha unaiwasilisha .Wakuu niliona mjadala humu kuhusu watu kuvaa mapete na kila aliyechangia alikuwa na maoni yake.
Kwa habari nilizozisikia na kuziona kwenye vyombo vya habari hata kuzisoma sehemu mbalimbali. Pete zinazovaliwa na watu mbalimbali wakiwemo Mashehe, Wachungaji, Maaskofu na watu mbalimbali. Huwa inakuwa na ulinzi dhidi ya mashambulizi ya nguvu za mapepo na majini wabaya, huongeza mvuto mbele ya jamii, hukinga dhidi ya nuksi, balaa na mikosi.
Lakini kwa siku za hivi karibuni utaratibu wa uvaaji Pete unaonekana kupunguza. Sasa hivi Watu wamebadirisha utaratibu kwa kuweka ulinzi, mvuto, King kwa kutumia saa za mikononi. Mfano kama hii picha hapa inaonekana huyu Tajiri kavaa saa 2 lakini hapo saa ni moja tu nyingine ina vitu yake kwa ajili ya Ulinzi, Mvuto, kinga nk
View attachment 3212970
Hii taarifa ya kuhifadhi vitu nimeifanyia utafiti toka mwaka jana mwezi April mpaka nimefikia kuandika huu uzi. Na vile vile sio kwenye Saa ya mkononi tu hata kwenye Chaja za Airpods na vijana wengi sasa hivi wanavaa vipochna kuvining'iniza kwenye hooks za suruali.
Crocodiletooth
Herbalist Dr MziziMkavu
BIN NUN
Mshana Jr
Kama mna la kuongeza naomba mzidi kutuhabarisha.
Nawasilisha
mtume alivaa pete kama kinga au muhuri wa dola yake? Mimi nimezungumzia uvaaji wa pete kwa madai ya kinga. Kama umesoma aqida rejelea shirk aswghar, i.e kitaab tawhiyd cha al-allama saleh fawzan kipengele cha uvaaji wa bangiri na matarasimu, pia madai ya kuvaa pete na mfano wake kama kinga ambayo ni haram kabisaElimu za kwenye pafulet/Muqarara ndo Kama hizi
Kwamba katika kusoma kwako hujawahi ona mtume mwenyewe alikuwa akivaa Pete ya silver?
Nabii sulayman je ?
Imamu Ally?
Pete ya mtume othaman bin adhana ndo alikuja kuitupa kisimani kuondoa dhana mbaya kwa watu haya hukuyasoma?
Kazana kusoma naona bado sana ..