NIMPENDENANI
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 6,114
- 5,398
- Thread starter
-
- #21
Mkuu inaumaaa kupitiliza..moja makosa ambayo wanawake hawawezi kusamehe ni kutembea ni rafiki yake hata iweje hawezi kukusamehe
Hapo lazima uzimie kwa mda..lol..Dada kwa hilo nina mfano nalo hayo mambo ya kuamini marafiki na kuwapa siri za ndani na madhaifu ya mume.
Kuna Mama alikuwa mfanya biashara sasa ikawa kila akisafiri ana mtoto wa shoga ake tena ni mwari tu ndio anakuja nyumbani kumpikia mume wake na kufanya shughuli zote za humo ndani ikiwemo kuhudumia watoto sasa kilichotokea safari moja mke karudi mume anamwambia nataka kuoa mke wa pili kuja kushtuka ni mtoto wa shoga ake.
Mbona alichanganyikiwa. Tangu hapo mambo ya kumuamini mtu hasa rafiki huwa siyaafiki kabisa.
Umeonaee. Mie pia ningezimia dada sababu bora hata ingekuwa mtu wa mbali ila wa karibu. Mmh.Hapo lazima uzimie kwa mda..lol..
Sijui kwakweli labda ashuke malaika kutoka mbinguni ndio tutaelewa,.Hapo kwenye sifa napakubali na ndo ugonjwa wa walio wengi.
Na hilo la kuwa na kifua ndio wengi panawashindwa sababu wanataka waonyeshe wenzao utofauti ambao mara nyingi unaleta madhara na kubaki majuto.
Sa sijui waambiwe kwa lugha gani ili hili somo kuwa wasiri wa mambo yao lipate kueleweka.
Ila mara nyingi kosa hua nila kwetu sisi na jengine hua tunajiamini kua tunapendwa sanaa na tukisha zaa ndio oooh tunadhani tumemuweza mume,ila wengi wetu hawajui kua mume pia ni mtoto wako mwengine manake anakuja na tabia za ajabu ajabu kutoka kwao kazi inakupata kum nyoosha japo kidogo na sio kazi ndogo..Umeonaee. Mie pia ningezimia dada sababu bora hata ingekuwa mtu wa mbali ila wa karibu. Mmh.
Wanaume wasaiv tumegeuka n kamsemo kashetani alinipitia hata tuombwe pesa utasikia shetan alinipitia sijatumaMkuu inaumaaa kupitiliza..
Sasa kabla huyo shetani kukupitia inabidi mke ajitahidi kwa maombi na kujituma ili hata shetani akikupitia unamwambia wewe nenda mie bado nipo nipo..lolWanaume wasaiv tumegeuka n kamsemo kashetani alinipitia hata tuombwe pesa utasikia shetan alinipitia sijatuma
Huenda ikasaidia my dear sababu hili somo limeshindwa kabisa kutuinga.Sijui kwakweli labda ashuke malaika kutoka mbinguni ndio tutaelewa,.
Amen ntakuja pm ipendeze zaidiSasa kabla huyo shetani kukupitia inabidi mke ajitahidi kwa maombi na kujituma ili hata shetani akikupitia unamwambia wewe nenda mie bado nipo nipo..lol
Hii habari haina mvuto kama mavazi ya Dr shika