Sio kila ombaomba anahitaji msaada- be careful

amen,eeeeeh mbn naogopa jamani!plz it should be a joke au?duh inatisha jamani
lushdo hizo mbona zinatokea mara nyingi tu!!!!!!!!!
Kuna mtu ofisini alimpa hela ombaomba,
kumbe ametumwa na wabaya wa huyo dada wamfanyie uchawi.
Yule ombaomba akamweleza kiunagaubaga kila kitu.
 
lushdo hizo mbona zinatokea mara nyingi tu!!!!!!!!!
Kuna mtu ofisini alimpa hela ombaomba,
kumbe ametumwa na wabaya wa huyo dada wamfanyie uchawi.
Yule ombaomba akamweleza kiunagaubaga kila kitu.

halafu ikawaje baada ya kuhadithiwa aliendelea kumchawia.
 

mhh kazi kweli kweli
 
amesha sema Azania front, unauliza tena!!!!

Sorry sikuiona hiyo!

Sasa watafanya hata wale wanaohitaji msaada washindwe kusaidiwa jamani.
Nimehakikishiwa na sister wangu alisali leo pale Azania ibada ya asubuhi.
 
Wekeni biblia na rosari kwenye magari yenu, msiache kusali. Misaada pitishieni kwetu Ma-reverend
 
U r killing that tree on ur avatar...sio umwagiliaji huo bali uuaji

siipendi kuiangalia hiyo avatar ya masanilo!!!!!!!!!!

Masa kwani huumii kila siku hivyo viupupu vinakuchoma???
 
Try to be that female tree uone kama nitaumia LOL

mbona ni kama unaskilizia maumivu huo mpira unavokugonga???

wee eti niwe hiyo female tree so that u can pee on me kama hivo loh staki

(i wont try that its dangerous)
 
Niliwahi kusikia habari inayotaka kufanana na hii ilitokea maeneo ya Naivasha, Kenya... Muwe kwenye maombi jamani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…