Sio kila mwanamke wa Kula

Habari,

Sio kila pisi kali inayopita mbele yako ni ya kula. Wanawake wa sasa wako Very cheap lazima ujivalue.

Kuna muda condom ni muhimu sana.
Gono, Kaswende, Genital Warts.

Utakula kwa Elfu 5 utajitibu kwa elfu 50
Ujumbe makini Sanaa Kwa maneno machache
 
Ujumbe muhimu sana huu hasa kipindi hiki cha msimu wa sikukuu. Jipe thamani, sio kila mwanamke ni wa kugonga, sio kwa vile nimrona kuna urahisi wa kumgonga basi nigonge.

Upande wa pili kwa sasa hakuna resistance kabisa, sisi ndio wa kujichunga.
 
Habari,

Sio kila pisi kali inayopita mbele yako ni ya kula. Wanawake wa sasa wako Very cheap lazima ujivalue.

Kuna muda condom ni muhimu sana.
Gono, Kaswende, Genital Warts.

Utakula kwa Elfu 5 utajitibu kwa elfu 50
Huwezi kusema eti wanawake wa sasa wako cheap. Hapa unatukana wake zetu hata mama yako. Huwezi kujumlisha wanawake utadhani umeongea nao. Hivi kweli na rais wako naye ni cheap? Acha ujinga kufanya mahitimisho jumuishi bila hata chembe ya ushahidi. Hii licha ya kuwa matusi, ni zaidi ya ujinga wa kawaida.
 
Umeongea ukweli,lazima mwanaume uwe selektivu,siyo kila mdada unamgonga,huchagui,mbaya zaidi umeoa,mkeo katulia huko,unampelekea mago jwa,na hatakama hajatulia,kua selektivu aisee.
 
Hili ni janga kabisa yaani picha ya uchi mke wa mtu anamtumia mtu ujue huyo amekosa thamani ya staha za kuwa mke wa mtu kabisa
 
Kuna mzee alioa wake wawili na akazaa watoto 6 nyumba kubwa na nyumba ndogo akazaa 12 lakini watoto wote ni bright kuanzia wa kwanza hadi wa mwisho yaani zinawaka balaa kwa hiyo hakuna relation ya 100% ya unachokisema ,umeleta nadharia za kilokole zaidi ambazo nyingi huwa hazina uhalisia ukitaka tudadavue kwa kina nipo tayari

Kuna vitu vipo kawaida tu tusitake kuwaaminisha watu kila mtu ana mapepo.

Eg baba yangu alikuwa mfanyabiashara so mimi nitakuwa mfanyabiashara? Jibu ni hapana naweza kuwa superior kwenye sekta nyingine kabisa? Habari za roho ya hiki mara kile ni nadharia zaidi kuliko uhalisia katika mengi tu.
 
Homa ya ini kuna chanjo, acha woga dogo
Watu wengi hawajachanja,badala yake wanakuja kwenda hospitali wakati tayari ini liko kwenye hali mbaya na mwishowe ni kurudishwa nyumbani KUSUBIRIA,huku wakipewa hyocine.Tuwe makini,magonjwa yanapoteza raslimali pesa pamoja na muda wa wanaouguza halikadhalika na wanaouguzwa.
 
Wanawake wa sasa wako Very cheap lazima ujivalue.
Maisha yamekuwa magumu mno, nilishuhudia mke wa mtu tena mtumishi wa umma mwenye ajira yake akikokotwa na bodaboda ati kisa ana madeni mengi kwenye vikoba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…