SPACE CADET
JF-Expert Member
- Dec 15, 2022
- 2,278
- 3,565
Be a man of principles" roho hii radhi lakini mwili ni zaifu " tutakumbushana sana hivi vitu lakini siku hizi wanaume tunapitia changamoto kubwa unashangaa umetumiwa nudes na mke wa mtu alafu unajaribu kukausha kwa hekima anakuuliza mbele za watu akikuona " ule mzigo nilio kuonyesha unaupa asilimia ngapi? " Just imagine .........kiukweli ukikosa kujisimamia kidogo tu!! Unajifedhehesha milele
Mara umepigwa na kibajaji chap,haupo tena...umeondoka na ugwadu wako.(kidding) usemacho ni sahihi mkuu😁Habari,
Sio kila pisi kali inayopita mbele yako ni ya kula. Wanawake wa sasa wako Very cheap lazima ujivalue.
Kuna muda condom ni muhimu sana.
Gono, Kaswende, Genital Warts.
Utakula kwa Elfu 5 utajitibu kwa elfu 50
Kabisa mkuuMbali na magonjwa, hii tabia ya kumega-mega kila mwanamke unajibebea tu mikosi, nuksi na gundu. Unajitia unajisi tu...
"nilimuambia tuma picha nikuone, akajibu unat<>mb@ picha ?"Atakuja mtu atasema, mchagua jembe sio mkulima
Hahah, huyo ukikaa vibaya anakubaka Mkuu 😂😂"nilimuambia tuma picha nikuone, akajibu unat<>mb@ picha ?"
Women value strength in men they desire. They already have a pussy they don’t want to deal with another one.Hoja kubwa hapa, ni Kua Mwanaume wa Thaman, sio Kila K wee unafakamia tuu .
Nayeye uzinzi utamzoa kweliKuna jamaa wangu yeye ni zoa zoa hachagui wala habagui
Homa ya ini kuna chanjo, acha woga dogoKuna hii homa ya ini, bora hayo mengine yanatibika
Chanjo unaipata kabla ya tatizo ila ukishapata tatizo hakuna uzima tenaHoma ya ini kuna chanjo, acha woga dogo
Unajua asilimia ngapi wana uelewa wa huo ugonjwa na iyo chanjo?Homa ya ini kuna chanjo, acha woga dogo
Alikuwa mwanaume au mwanamke?Nilikutana na huyo anataka nyonya kinyeo changu nilimpiga yeke hilo hatosahau