Sio kila Mwanamke anafaa kulala nae

Uzi ni mrefu ila ni wa kimiyeyusho tu
 
Kwa mwaka huu,ndo uzi wangu pendwa...best
 
Hii ni kwa jinsia zote hata wanaume kuna wenye nuksi na mikosi mixer wachawi wa kuchukua bahati za wenzao.
 
True say 1000% ya nuksi anakutana nazo mwanaume ni haya makitu. Sio tu nuksi hata afya yako ina kongoroka na mwisho vifo vya ghafla asilimia kubwa ya vifo vya ghafla vina sababishwa na haya makitu. Asilimia kubwa ya matajiri walio anguka kutoka kileleni ni haya makitu Yani huwezi kuwa na Mali kama una endekeza haya makitu. 😭😭😭 Wanaume wengi wamejikuta kwenye shida na dimbwi la umasikini baada ya kujiendekeza kwa Haya makitu. Yani hapana
 
Kweli kabisaa
 
Ni kweli kwa 100% haya uyasemayo, ila pia kuna ndugu katika ukoo wakiona watoto wa dada ama kaka yao wanapiga hatua kimaendeleo wanawaroga na kuwazibia riziki wasije kuoelewa ama kufanikiwa tu maishani mwao. Sisi mama yetu mdogo alikuwa hivi kwa dadake na kaambukiza wanawe kwenye hili janga la kishirikina. Wanawe badala ya kujituma kufanya kazi, wao wako bize kututafuta sie ili watuzibie riziki na hapo hatujuani kiviiiiile, in short tumejitenga nao kwa ujinga wao.
 
Acheni kusingizia laana, sijui nuksi, Kuna kupanda na kushuka, ooh kisa mademu wengine nuksi zote sababu za kukandia mademu, mkifulia demu kanitilia gundu, tafuteni, tutafute pesa acheni, tuache kujifariji, na wote hatuwezi kuwa matajiri, hii toka enzi.
 
huu ushenzi upo kila mahali kumbe

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Jamaa kaandika ukweli.
 
Naomba niulize, Umeiandika wewe hii au ume copy sehemu??
 
Sehemu pekee mwafrika anapoatq ahueni ni kwenye ngono, mengine kwa kweli % kubwa tunapambana na hali zetu.

Watu wanawekana bwana, hakuna utani hata kidogo, wenye gundu tu ndio tumebaki ila wengi wanakulanaaa...hata haya maradhi sijui gono sugu, HIV haviwezi kutuacha salama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…