Sio kila Mwanamke anafaa kulala nae

Mafanikio ya kiuchumi yanahitaji akili Sana na sio ngono sijui kutomba nyota n.k na bla blah Kama hizo.


Unapofanya ngono na Malaya unampa hela Basi lazima urudi nyuma na kupoteza mwelekeo


Lakini kwa mtu makini anajua cha kufanya umasikini inasababisha na mambo Mengi ikiwemo kuendekeza ngono Maana ngono inatumia pesa lakini Kuhusu nyota na mambo mengio big no
 
Ungeigawa vipande vipande ingekuwa poa sana nimeshindwa kufika mwisho
 
🤔🤔
 
Mazee umetuchamba [emoji114][emoji114][emoji114][emoji114][emoji114]
 
Labda uongee wewe kaka sie wengne wataona ngonjera...
 
Ni hivi. Alichosema Mtoa mada ni ukweli

Ingawa kuna mikinzano mbalimbali.

Maisha ya watu wenye hela wengi na vijana wana wanawake wengi mnoo wanatembea nao na bado wapo stable financially.

Mie kwa upande wangu naweza sema haya:

1_ LAANA: kuna laana fulani unaweza ipata ukiwa connected kwa njia ya sex hasa mwanamke akiwa karibu na hedhi au baada ya hedhi au wakati wa hedhi. Maana swala la kukutanisha Damu ni agano.

2_MIKOSI au BAHATI: Hapa inategemea na nani unasex nae kuna wengine wanaweza kuwa na mikosi kwako ila kwa wengine ni Bahati kwao.

Hivyo kuangalia mafanikio ya nje pekee haifanyi conclusion kwamba mtu huyu ana bahati au mikosi.

Mara nyingi mpaka ujumuike nae ktk sex ndio utagundua.


Pia Dini zimegusia kuhusu haya Mambo cha msingi ni kusoma na kujua namna ya kufungua strings
 
Ila bwana hili suala ulilolisema mm niko 50/50 mafaniko ni Juhudi zako mwenyewe ila ukiendekeza kufanya ngono hovyo hutasonga mbele kimafanikio sababu utakua unatumia gharama kubwa na hao wanawake so utaporomoka kiuchumi,,lkn ukiwa tindo hutoboki kisenge mbona unasonga mbele na kuwala una wala tuu[emoji3]
 
Wengi watapinga! Ila upo sahihi kwa kutumia akili tu kabla hata kufuata dini na mila zetu ..

Kingine unaweza kufungua bahati kwa mwanamke wako pale unapomfanya wa halali (kumuoa) hapa automatically unafanya mwanamke yule awe na kismati juu yako kwani kama mahusiano yanakuwa na baraka
..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…