Shamkware JF-Expert Member Joined Nov 25, 2013 Posts 1,756 Reaction score 2,309 Feb 8, 2014 #1 Kila anaeachana na mpenzi wake, atasema tulipendana na tulipanga kuoana, Sio kila mahusiano yatafikia ndoa wengine wanaletwa tu mungu waje kukufunza Mapenzi na maumivu yake pamoja na kukukomaza kiakili Usilalamike sana ukitendwa/ ukiachwa!
Kila anaeachana na mpenzi wake, atasema tulipendana na tulipanga kuoana, Sio kila mahusiano yatafikia ndoa wengine wanaletwa tu mungu waje kukufunza Mapenzi na maumivu yake pamoja na kukukomaza kiakili Usilalamike sana ukitendwa/ ukiachwa!
CharmingLady JF-Expert Member Joined Apr 16, 2012 Posts 18,304 Reaction score 12,999 Feb 8, 2014 #2 Hahhaaaa.... Wamekusikia!!!
J.lee JF-Expert Member Joined Mar 20, 2012 Posts 1,672 Reaction score 834 Feb 8, 2014 #3 yah!ni kweli mkuu usemacho.
A Ave Ave Maria JF-Expert Member Joined Apr 22, 2011 Posts 10,707 Reaction score 5,682 Feb 8, 2014 #4 Habari ndo hiyo!! Zinavunjika ndoa sembuse mahusiano?
Nyalotsi JF-Expert Member Joined Jul 20, 2011 Posts 6,989 Reaction score 5,069 Feb 9, 2014 #5 huwa nachukia sana unakuwa na MTU hat a mwaka haujaisha ye anawaza kuolewa tuuuu! kuna mijitu huwa inaboa kweli!
huwa nachukia sana unakuwa na MTU hat a mwaka haujaisha ye anawaza kuolewa tuuuu! kuna mijitu huwa inaboa kweli!
ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 55,892 Reaction score 131,924 Feb 9, 2014 #6 Hivi unajisikiaje kuwa katika mahusiano ambayo unajua kabisa hakuna future????
Iyokopokomayoko JF-Expert Member Joined Sep 15, 2011 Posts 1,785 Reaction score 444 Feb 9, 2014 #7 sawa tumesikia mkuu
M mkeyamasai JF-Expert Member Joined Jul 21, 2013 Posts 383 Reaction score 156 Feb 9, 2014 #8 kweli mtu akisema hakutaki muache aende zake ,kama hakutaki hakutaki tu,mi nashangaa mwengine utasikia siwez kuishi bila yeye..nonsense
kweli mtu akisema hakutaki muache aende zake ,kama hakutaki hakutaki tu,mi nashangaa mwengine utasikia siwez kuishi bila yeye..nonsense
D DOOKY JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 370 Reaction score 50 Feb 9, 2014 #9 J.lee said: yah!ni kweli mkuu usemacho. Click to expand... Bora wewe umesema kweli, na wanaolazimisha ndoa mwisho wake huwa ni kilio, huku wakiomba ushauri kila siku Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
J.lee said: yah!ni kweli mkuu usemacho. Click to expand... Bora wewe umesema kweli, na wanaolazimisha ndoa mwisho wake huwa ni kilio, huku wakiomba ushauri kila siku Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,371 Reaction score 111,682 Feb 9, 2014 #10 Shamkware said: Sio kila mahusiano yatafikia ndoa wengine wanaletwa tu mungu waje kukufunza Click to expand... Kwingine kote upo sahihi kiasi isipokuwa hapa umetupotosha, kimsingi umeandika uongo. NB: Am assuming mungu = Mungu
Shamkware said: Sio kila mahusiano yatafikia ndoa wengine wanaletwa tu mungu waje kukufunza Click to expand... Kwingine kote upo sahihi kiasi isipokuwa hapa umetupotosha, kimsingi umeandika uongo. NB: Am assuming mungu = Mungu