B'REAL
JF-Expert Member
- Oct 20, 2010
- 4,582
- 3,272
nikama wiki tatu sasa,kuna dada mkazi wa ungalimited alimuokota paka mzuri barabari akiwa anatoka kazini,dada akajifanya anapenda sana wanyama akamchukua yule paka na kwenda nae kwake,dada kamuweka paka sebleni kaingia kuoga anarudi kutoka bafuni ana kuta binadamu kaka kwenye kochi,dada hamadi kapiga ukungaa yule mtu akageuka paka akamwambia nani ka kwambia unilete huku ni rudishe ulipo nitoa,dada alizimia siku tatu.....hala hala wana jf msipende kuchukua vitu mnavyo viona njiani na kupeleka makwenu