zagarinojo
JF-Expert Member
- Jul 26, 2020
- 2,622
- 2,835
Inaonekana ni kawaida yako kutokuelewaHabari wana JF wenzagu.Huu ni mwaka wa Uchaguzi mkuu na tarehe 28.10.ni kama imekaribia hivi ili maamuzi ya wananchi yatimie katika
umeandika nini sasa? mbona hatuoni jambo ambalo huelewiHabari wana JF wenzagu.Huu ni mwaka wa Uchaguzi mkuu na tarehe 28.10.ni kama imekaribia hivi ili maamuzi ya wananchi yatimie katika
Ndo maana nimeomba unieleweshe sijasema naelewaNdio maana huelewi, kwa kuwa hata wewe mwenyewe ulichokiandika hakieleweki.
Itabidi unishukuru kwa ujinga wangu kwasababu mjinga humfanya muelewa aneonakane mwelewa pale anapomwelezea mjinga.Utakuwa mjinga sana na upumbavu juu
Chadema
1. Kodi
2. Afya
3. Katiba mpya ya jaji warioba
4. Uhuru wa raia kuhoji...
Mkuu ingiza namba ya vocha halotel 5000 382617893400286Itabidi unishukuru kwa ujinga wangu kwasababu mjinga humfanya muelewa aneonakane mwelewa pale anapomwelezea mjinga.
Mwelewa atapata funzo kutokana na swali la mjinga...
Mkuu ingiza namba ya vocha halotel 5000 382617893400286
Aendelee kutokuelewa hvyo hvyInaonekana ni kawaida yako kutokuelewa