Uzuri wake ni kwamba wote kwa pamoja tunaisoma namba... mbele kwa mbele.===
Wasalaam JF,
Naenda moja kwa moja kwenye Maswali yangu matatu kwa wachochezi.
1. Ninyi mnaolalamika na kumlalamikia Rais wetu mchapakazi Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kuwa kunaupungufu wa Umeme huku mkifahamu fika kuwa nchi yetu hii asilimia kubwa vyanzo vyake vya Umeme ni vya "maji" na sote tunafahamu nchi nzima mvua bado hazijaanza kunyesha na nikweli tunafahamu si rais wala Serikali | TANESCO wala CCM ndio wenye kuleta mvua ila Mungu, Sasa lawama hizi zote ni kwa faida ya nani?
2. Pili, Kama tunakubaliana kwamba Si Rais wala CCM wanaweza kuleta mvua kwanini basi hivi vyama Uchwara vya Upinzani wanataka kuitumia mipango hii ya Mungu ya Ukame kama turufu yao kubwa ya kisiasa?
3. Nitajieni mwaka mmoja tu ambao Tanzania haikuwa na mgao wa Umeme na Mimi nitawatajia awamu ya rais isiyokuwa na mgao wa kutisha wa umeme kuwa ni hii ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.
NB, Sio kwamba Tanzania haina Umeme ila Tanzania inaupungufu mdogo wa Umeme,Nadhani tuliweke hili sawa hivi.
#MAMA HAKAMATIKI
Hata lile bwawa likija shida haitoisha , capacity ya umeme nchini ni tele ila vilaza na machawa ndo wamesheheni ofisi zileKwanza,Upungufu ni kiasi kidogo,
Pili,Bwawa la JNHP litamaliza haya maneno,
Tatu, Huu si mgao wa kwanza kwa Tanzania
Chawa kajitutumua kumbe hajui kituUmemsikia "Mama" alichoongea leo?
Hiyo sababu ya maji unaijua wewe tu!
Hujamamsikia akizungumzia climatic change na jua kali maji hakuna?Umemsikia "Mama" alichoongea leo?
Hiyo sababu ya maji unaijua wewe tu!
Nenda kamsikilize tenaChawa kajitutumua kumbe hajui kitu
Msikilize Rais leo vizuriWenye dhamana hawakuwahi kuzungumzia uhaba wa maji toka mgao uanze rejareja June/July huko!
Mara zote walituambia mara wale wengine hawakufanya service mara wale walikuwa wanawakatia watumiaji wakubwa pekee.
Porojo zilitawala kila siku.
Nyie mngekua na hizo akili umeme ungekua historia toka miaka ya giza.Ila ilo limebaki kua fupa gumu mdomoni mwenu.mnalibadilisha tu mdomoni kwa kutoa maneno mbalimbali yasiyoeleweka.Gesi haiko ya kutosha kuwa na akili jombaa, Jitahidi kufuatilia mambo ya nchi yako
Bora unyamaze kuepuka aibu, Rais aliyepewa kikatiba dhamana ya kuongoza nchi yetu anadai tatizo ni uchakavu wa mitambo, wewe kama nani unatueleza tatizo la ukame?===
Wasalaam JF,
Naenda moja kwa moja kwenye Maswali yangu matatu kwa wachochezi.
1. Ninyi mnaolalamika na kumlalamikia Rais wetu mchapakazi Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kuwa kunaupungufu wa Umeme huku mkifahamu fika kuwa nchi yetu hii asilimia kubwa vyanzo vyake vya Umeme ni vya "maji" na sote tunafahamu nchi nzima mvua bado hazijaanza kunyesha na nikweli tunafahamu si rais wala Serikali | TANESCO wala CCM ndio wenye kuleta mvua ila Mungu, Sasa lawama hizi zote ni kwa faida ya nani?
2. Pili, Kama tunakubaliana kwamba Si Rais wala CCM wanaweza kuleta mvua kwanini basi hivi vyama Uchwara vya Upinzani wanataka kuitumia mipango hii ya Mungu ya Ukame kama turufu yao kubwa ya kisiasa?
3. Nitajieni mwaka mmoja tu ambao Tanzania haikuwa na mgao wa Umeme na Mimi nitawatajia awamu ya rais isiyokuwa na mgao wa kutisha wa umeme kuwa ni hii ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.
NB, Sio kwamba Tanzania haina Umeme ila Tanzania inaupungufu mdogo wa Umeme,Nadhani tuliweke hili sawa hivi.
#MAMA HAKAMATIKI
Kubwa ni kutumia wataalamu, kuheshimu wanayoelekeza. Sio wanasiasa kuamua ya kitaalamu. TANESCO wanunue data na kuzitumia ku-forecast mvua. Ya Libya yasijirudie hapa. Sio kupiga ramli, au eti Mungu ataleta mvua. pango mbadala uwepo wa kununua umeme (inter-connector) kw majirani au kuleta ie meli kubwa ya kufua umeme wa zarura. Lingine ni Nuclea power, Kenya wameanza.===
Wasalaam JF,
Naenda moja kwa moja kwenye Maswali yangu matatu kwa wachochezi.
1. Ninyi mnaolalamika na kumlalamikia Rais wetu mchapakazi Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kuwa kunaupungufu wa Umeme huku mkifahamu fika kuwa nchi yetu hii asilimia kubwa vyanzo vyake vya Umeme ni vya "maji" na sote tunafahamu nchi nzima mvua bado hazijaanza kunyesha na nikweli tunafahamu si rais wala Serikali | TANESCO wala CCM ndio wenye kuleta mvua ila Mungu, Sasa lawama hizi zote ni kwa faida ya nani?
2. Pili, Kama tunakubaliana kwamba Si Rais wala CCM wanaweza kuleta mvua kwanini basi hivi vyama Uchwara vya Upinzani wanataka kuitumia mipango hii ya Mungu ya Ukame kama turufu yao kubwa ya kisiasa?
3. Nitajieni mwaka mmoja tu ambao Tanzania haikuwa na mgao wa Umeme na Mimi nitawatajia awamu ya rais isiyokuwa na mgao wa kutisha wa umeme kuwa ni hii ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.
NB, Sio kwamba Tanzania haina Umeme ila Tanzania inaupungufu mdogo wa Umeme,Nadhani tuliweke hili sawa hivi.
#MAMA HAKAMATIKI
Hujamsikia Mhe Rais?iko wapi taarifa inayosema chanzo cha mgao ni ukosefu wa mvua au upungufu wa maji? maana unaongea utopolo mtupu
Your ConnectedKubwa ni kutumia wataalamu, kuheshimu wanayoelekeza. Sio wanasiasa kuamua ya kitaalamu. TANESCO wanunue data na kuzitumia ku-forecast mvua. Ya Libya yasijirudie hapa. Sio kupiga ramli, au eti Mungu ataleta mvua. pango mbadala uwepo wa kununua umeme (inter-connector) kw majirani au kuleta ie meli kubwa ya kufua umeme wa zarura. Lingine ni Nuclea power, Kenya wameanza.
Akili zipi mkuu OKW BOBAN SUNZUUsikute hizi ndio akili za pale ikulu. Hovyo kabisa. Demaged beyond repair
Mmoja wenu anadanganya Umma wa Watanzania===
Wasalaam JF,
Naenda moja kwa moja kwenye Maswali yangu matatu kwa wachochezi.
1. Ninyi mnaolalamika na kumlalamikia Rais wetu mchapakazi Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kuwa kunaupungufu wa Umeme huku mkifahamu fika kuwa nchi yetu hii asilimia kubwa vyanzo vyake vya Umeme ni vya "maji" na sote tunafahamu nchi nzima mvua bado hazijaanza kunyesha na nikweli tunafahamu si rais wala Serikali | TANESCO wala CCM ndio wenye kuleta mvua ila Mungu, Sasa lawama hizi zote ni kwa faida ya nani?
2. Pili, Kama tunakubaliana kwamba Si Rais wala CCM wanaweza kuleta mvua kwanini basi hivi vyama Uchwara vya Upinzani wanataka kuitumia mipango hii ya Mungu ya Ukame kama turufu yao kubwa ya kisiasa?
3. Nitajieni mwaka mmoja tu ambao Tanzania haikuwa na mgao wa Umeme na Mimi nitawatajia awamu ya rais isiyokuwa na mgao wa kutisha wa umeme kuwa ni hii ya Mhe Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.
NB, Sio kwamba Tanzania haina Umeme ila Tanzania inaupungufu mdogo wa Umeme kutoka na ubovu wa miundombinu kuchakaa pamoja na ukame,Nadhani tuliweke hili sawa hivi.
#MAMA HAKAMATIKI
Mmoja wenu anadanganya Umma wa Watanzania
aidha ni wewe CM au ni SSH
Akizungumia kuhusu changamoto ya kukatika kwa umeme, Rais Samia Suluhu Hassan amesema mitambo haikufanyiwa maboresho kwa muda mrefu, hivyo maboresho yanapofanyika baadhi itazimwa na ndio maana imesababisha upungufu wa umeme
=================
Umeme wetu ni Hydroelectric power tuvumilie inyeshe
Watanzania na Wananchi muwe makini na baadhi ya waleta mada hapa Jamvini.