Sinza: Kahaba anatumia misukule kujiuza

Aiseee huwa anavaaa nguo nyekundu au maana kuna mmoja pale huwa anavaaga kimini chekundu na blauz nyekundu na ni mweupe
 
Aiseee huwa anavaaa nguo nyekundu au maana kuna mmoja pale huwa anavaaga kimini chekundu na blauz nyekundu na ni mweupe
Mpinzani wake mkubwa ni mama mmoja wa kigoma mnene haswa na ana mzigo wa kutosha nyuma na yeye anatumia kizizi pia ila kamwe hataki umgongee guest house

Mkishakubaliana anakupeleka chumbani kwake anakupikia na msosi kabisa.
 
Yaaah yule mama nampata
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimependa hapo mwisho
 
Mkomage tu!!!
Kuna mdada mmoja alitoa ushuhuda Nigeria...
Alizaliwa baharini akaletwa duniani kama agent wa huko baharini... Kazi yake kubwa ilikua kuharibu hatima/destiny za wanaume. Yaani mkinyonyana ndimi tu, kwisha habari yako... Ukisex naye ndo kabisaaa... Yaani hutakuja fanikiwa na mikosi itakuandama kila siku.

Sasa naimagine! Ivi Tanzania hawapo kweli hao viumbe? Na kama wapo, wanaume wangapi ni wahanga!
 
Unapoteza Milioni 10 kwa usiku mmoja? Kisa starehe ya kua na changudoa?
Mi nadhan jpm azidi zaidi na zaidi kukaza nati naona somo halijaeleweka la maisha ya NIDHAMU.
 
Wakome tu
Usiwe mwepesi kuongea hivo inawezekana mwenza wako mtarajiwa au uliye nae sasa kama mume ni muumini mzuri wa huo msukule na Kwa maana nyingine kama yeye ni muumini nawe umeolewa nae inamaana wote mnalala na misukule

Tuombeaneyasitukutemabayahayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…