kinjekitile70
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 1,070
- 1,434
Wakuu habari ya Jumapili,
Mimi ni mjasiriamali yaani enterpretenuar
Nahitaji kujua mtaa, au eneo zuri la kufungua mgahawa sinza, kulingana na wingi na hadhi ya watu Wanaishi mitaa hiyoo.
Nahitaji mtaa ambao watu wake from morning to usiku wa saa 4hawapungui,
Binafsi nimezungukazunguka kidogo but siijui mitaa mingi.
Natumaini huku jF hakuna linaloshindikana
Naomba kuwasilisha!