mpinga shetani
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 3,236
- 954
Hii biashara imeshindikana kuzuiwa?
Hii biashara imeshindikana kuzuiwa?
Buguruni wanapatikana kwa buku jero
Kwa wanaodhani wale wadada (plus plus) wamejikita sinza tu basi watembelee mtaa wa sikukuu kariakoo hasa pale palace hotel ni wnegi kama nzige sijui kwa nini uongozi wa hotel hauchukui hatua yeyote maana wana tabia ya kuwaganda wageni kama luba.
Pia mara nyingi hutwangana makonde wao kwa wao. Utashangaa kuna hata wasiojua kiswahili kabisa wakitokea congo au burundi . Gharama ni kati ya 5000 hadi 30,000 depending on bargaining power of the buyer.
Ni kweli 'inalipa', kama mtu analipwa 30k kwa mara moja na anaweza kwenda na wanaume watatu kwa usiku mmoja, ni kipato cha 90k per night. Kwa mwezi, say anafanya 'kazi' siku nne kwa wiki anaweza kukusanya mpaka 1.440m....hii ni zaidi ya take home ya asst lecturer wa public university!Ndugu yangu Katavi.
Hii biashara inalipa harafu haitaji mtaji wowote ni bidii yako tu ni ngumu kuizuia
Inabidi basi tra wakusanye mapato nako huko...Ndugu yangu Katavi.
Hii biashara inalipa harafu haitaji mtaji wowote ni bidii yako tu ni ngumu kuizuia
pale k/koo huwa naenda naact nacheza pool kumbe wapi.mia
Hii si ni bora mngepeleka kwenye mambo yenu ya kikubwa hapa sio bana.
Mkuu, Dar yote imechafuka mbona!