A sinusoidal curve is the graph of the sine function in trigonometry!...
In my four months of marriage i have come to learn that UPEPO-WA-NDOA
is a sinusoidal-curve.
1-KUNA WAKATI MAMBO YANAKWENDA SAFI SANA!
mashamsham kibao,ma-outing,ma kila kitu(HAPA NI WAKATI SIN(90)=+1
2-KUNA WAKATI MAMBO YANAKWENDA NDIVYO SIVYO..i mean fifty fifty.
mama anakuwa very busy na wanae kama anao,pia anakuwa bize sana na kazi.
Hapa mwanamume anajikita sana kwenye INFIDELITY:usa::usa:.HAPA NI WAKATI SIN(0)=0
3-KUNA WAKATI NDOA ZINAKUWA CHUNGU KULIKO.(hii ni stage mbaya kidogo).
inafikia mahala hakuna kabisa mawasiliano baina ya wanandoa.
mara nyingi hapa wanandoa hufikiria devorce n.k.HAPA NI WAKATI SIN(-90)=-1
4-LAKINI kuna wakati unaona watu wanarudisha upendo wao wa zamani na mambo
yanaendelea kama kawaida
MY TAKE:naomba watu wasivunjike mioyo(HASA AKINA DADA),pale mambo
yanapokwenda ndivyo sivyo,maanake ka-utafiti kangu kupitia post
nyingi za lediiz humu ndani inaonekana kwamba ni watu waliokata
tamaa kabisa au pengine wanawachukia sana wanaume.
My Take:naomba watu wasivunjike mioyo(HASA AKINA DADA),pale mambo

ukiwa kwenye ndoa unaishi na wanandoa na unapata uzoefu mwingi tu AU VIPI MAMA?...miezi 4 tu ushajua yote hayo?
Naona wewe unataka kusababisha iletwe equation ya straight line kwenye maisha ya ndoa.teamo nakubaliana na hoja yako lakini hebu tujiulize kidogo...............hivi vijimambo vinavyopelekea curve kushuka kuelekea minus hatuwezi kuvipunguza kweli?
waswahili wanasema "subira ina mpaka"
ha ha ha ha!Hahahahaha! Ngoja nicheke tena kidogo hahahahahahahahaha!
Sinusoidal curve imekuwa translated kwenye malovee? Hahahahahaha! Wahandisi kweli noma...
Sasa hebu tutafsirie na projectile curve kwenye maisha ya ndoa. (Niko bize naandaa makaratasi ya talaka hapa, wapi bht?)
HAPO kwenye 90 to -90 nimeallow kila kituhahaha chrispin ................sio hivyo lakini hivi duh hii range tulopewa hapa ya kuanzia 90 mpaka -90 kidoooodo imetilia mashaka.
maana angalau ingekuwa inarange from 30 to -30 nafikiri wengi wangeweza kuvumilia.
HAPO kwenye 90 to -90 nimeallow kila kitu
nimekalkuleti minimum bending moment(-90) na maximum bending moment(90)
below -90 HUWA NI BREAKUP TU...!hata kujiua,au kumwua mwenzio
above 90 HUWA NI UNAFIKI MTUPU..!mapenzi ya kwenye tamthiliya hayo.(tigo et al)