Simu yangu ipo busy wakati wote, hata kama siongei na mtu. Nipigiwa mpigaji anajibiwa mwenye cm yupo busy. Kuna maujanja yakuondo hili tatizo?
Msaada tafadhali.
NOTE: Kila sim card nayoweka inakuwa busy ukipigiwa, ila nikiitoa na kuiweka kwenye cm nyingi inakuwa poa