SILISABANGOO
JF-Expert Member
- Oct 6, 2015
- 425
- 53
mji mzima wa Dar umechafuka sna kwa bendera za chama cha mapinduzi zikifuatiwa na za chadema.... swali la kujiuliza UKAWA ni muunganiko wa vyama vingi je hvyo vyama vingine havina bendera? naomba jibu wanaukawa
Mji mzima wa Dar umechafuka sna kwa bendera za chama cha mapinduzi( CCM) zikifuatiwa na za CHADEMA.
Swali la kujiuliza UKAWA ni muunganiko wa vyama vingi, je hivyo vyama vingine havina bendera?
Nnaomba jibu wanaUKAWA.
Bado wanaukawa hamjanipa jibu la kuridhisha mm km mwananchi ninayetaka mabadiliko nataka kupata majibu yenye mantik
Bado wanaukawa hamjanipa jibu la kuridhisha mm km mwananchi ninayetaka mabadiliko nataka kupata majibu yenye mantik
Mnataka malaika ashuke Ili kuwaeleza kuwa CHADEMA imeviua hivyo vyama vingine vya CUF, NCCR, & NLD?Mji mzima wa Dar umechafuka sna kwa bendera za chama cha mapinduzi( CCM) zikifuatiwa na za CHADEMA.Swali la kujiuliza UKAWA ni muunganiko wa vyama vingi, je hivyo vyama vingine havina bendera?Nnaomba jibu wanaUKAWA.