Sintofahamu kwa wabunge wa chadema

Sintofahamu kwa wabunge wa chadema

Moghati

Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
88
Reaction score
7
Wana jamvi nimekuwa nikijiuliza swali bila kupata jibu....kesho Mh jakaya mrisho kikwete atahutubia bunge...swali langu, je, wabunge wa chadema watatoka bungeni kama kawaida yao au itakuwaje? nawasilisha!
 
Ondoa upupu wako hapa, unapenda sifa za kijinga. Kwa upupu huu hata anayewatuma humu atakucheka kuwa hufikiri.
 
Hahaaa! Great thinkers wa jf, tunakazi kubwa sana kuokoa kizazi hiki cha vilaza
 
ama kweli hujui kinachendelea sasa hivi kisiasa?
 
brain loading 0.0000000000000000000000000000001% naona unataka kuanzisha mada za kutumwa hapa... subiri kesho utaona
 
Wana jamvi nimekuwa nikijiuliza swali bila kupata jibu....kesho Mh jakaya mrisho kikwete atahutubia bunge...swali langu, je, wabunge wa chadema watatoka bungeni kama kawaida yao au itakuwaje? nawasilisha!

Huwa hawatoki bila sababu.Nadhani huwa inakuwapo sababu ya msingi kufanya hivo.
 
Chadema ni wa chama cha calculation calculation calculation upo
 
sio kosa lako, ila unamuda jaribu kuangali kwanini watu wote wamekujibu hivyo.
 
Wana jamvi nimekuwa nikijiuliza swali bila kupata jibu....kesho Mh jakaya mrisho kikwete atahutubia bunge...swali langu, je, wabunge wa chadema watatoka bungeni kama kawaida yao au itakuwaje? nawasilisha!

busy___,,,,,signal_._
 
Nataka nimuoe mama yako,unasemaje?Inasemekana wewe ni mtoto wangu,ila nashangaa unaakili mbovu wakati mimi baba yako naakili timamu.
 
Kikwete ameisha gundua kwamba wabunge wake ni watu hatari ambao akiendelea kuwasikiliza anaweza hasifike 2015.
 
Wana jamvi nimekuwa nikijiuliza swali bila kupata jibu....kesho Mh jakaya mrisho kikwete atahutubia bunge...swali langu, je, wabunge wa chadema watatoka bungeni kama kawaida yao au itakuwaje? nawasilisha!

unauliza swali ambalo unaitaji jibu au ni majungu.tupo kujadili na kujipanga ni jinsi gani elimu ya katiba tunayoitaka Tanzania itawafikiaje wananchi.
 
nadhani hapa news ni rais kuhutubia bunge.kikwete safi sana
 
Back
Top Bottom