Sintofahamu kifo cha kijana Kigamboni

Sintofahamu kifo cha kijana Kigamboni

Mwaka Juzi mwezi wa 12 mwishoni nilimpoteza bro tuliyekua nae pamoja (ni cousin wangu, sisi tulikua ndugu wanne, yani mimi na ndugu zangu yan watoto wa shangazi zangu na sote tulilelewa na bibi tangu tukiwa wadogo sana! The bond btn us ilikua kubwa mnoo..tumepitia mengi pamoja, tulipendana mnoo! Walinitreat vema sana mana mi ndo nilikua mdogo zaidi kwenye squad).

Jamaa alikamatwa na polisi kwa kuhusishwa na ugomvi ambao kiukweli yeye hakuwa mhusika bali alikua anaamulia ugomvi wa rafiki yake mwingine. Polisi walimpiga sana huko walikompeleka na wakaja kumuachia baada ya kuona hali yake ni mbaya mnoo! That day hakurudi nyumbani ilibidi tumuwahishe hospital, huko nako mambo hayakua mazuri alikaa siku tano akahamishiwa ICU! Hakuchukua round bro alipoteza maisha baada ya siku mbili tuu..

Sikumbuki kama nimewahi kuumia kama siku ile, jamaa alikua real sana. Polisi walimuwahisha sana braza (he was only 23!)

Sometimes roho inauma akili inakataa kuamini kama polisi nao ni wanadam kama sisi. These guys are heartless!!

Daah anyway, endelea kupumzika kwa amani braza
I love you
I miss you sana bro
 
ndani ya awamu hii polisi wanaua bila ya kuhojiwa ccm oyeeee
 
Pole wafiwa,Hakika Hambao hawajaguswa kwa kipindi hichi kwa janga lolote la kutengenezwa na Binadamu Tumshukuru MUNGU.
Hakika hakuna Aliye Salama
 
Mimi huwa naamini sana kwenye kisasi, nikikukosa ww basi hata mwanao/mkeo hata mamako mzazi!!! hakuna mahakama wala polisi itakupa haki!
 
Sasa mkuu, umewahi ona maelezo ya jambazi yanakua na danadana kama hizi?
Hapo iko namna, yote kwa yote, natoa pole kwa wafiwa
kwakweli sijui ila niliuliza kwa wana jamvi hapa maana humu wapo watu wenye uzoefu ila siku hizi majambazi hawa furukuti
 
Dah inasikitisha sana! Mungu awape subra wafiwa na ailaze roho ya marehemu pema peponi.
 
Tumesoma upande wa Mama, Polisi na mjomba.

Ila hatujapata chochote hadi kijana anakamatwa, chanzo kilikua nini (hata tetesi tu)
Inasemekana dogo alimuibiaga mjeshi zamani akakimbia, kurudi ndio mjeda akafanya hayo.
 
Hawa wangese wanatatofauti gani na wale jamaa wa south africa ***** zao[emoji48][emoji48][emoji48][emoji48][emoji48][emoji48]
 
Nchini Tz kila baada ya wiki moja kuna watu wawili wanakufa bila hatia mikononi mwa polisi hili sio jambo dogo watanzania tusipuuzie mambo
 
wazazi mnapoona watoto wenu ni majambazi wameshindikana msiwaonee huruma huko nje wamewadhuru wananchi wengi na kuwa choma visu na kuwaibia na nyinyi wazazi mnajua sana sasa wakikamatwa mnajifanya polisi wanaonea


Tena huko kigamboni ni hatari.kweli kweli vijana wadogo kabisa wanaua wenye bodaboda kila siku
. Yaani ni hatari kigamboni kuendesha bodaboda kuliko sehemu yoyote ile dsm kwa sasa.. polisi hawezi tu kwenda kumchukua kijana mdogo tena asiye na mali na kumuua haiwezekani hata kama polisi wana matatizo yao.. hao vijana wanaua wenzao kila siku na polisi ndio wanaokusanya hizo maiti.. polisi nao ni watu wanachoka
 
Back
Top Bottom