Sintah alikwama sana kwa Juma Nature

Dah umenikumbusha Raha P kasepa bongo kajua States anatoboa dah kakutana na balaa shule kaacha ada hana kakutana na Mniga kamtia mimba kumbe jamaa deals zake ni kuuza sembe kabebwa akatiwa gerezani .

Demu alivurugikiwa sana nusu awe chizi ila ana mdogo wake mmoja Caren Peyton katusumbua kitaa then akatimkia states

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi huyo Rah P ana mishe gani now?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nature mtoto wa uswazi alijikuta Pdiddy, then akaishia kulia kwenye nyimbo. BTW mi nilikuwa namkubali zaidi Norah wakati huo, mtoto anajua kudeka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
picha yake basi,wengne tumemsahau
Hiyo hapo mkuu, nakiri kuwa hii picha haikumbamba vyema, lakini bado unaweza ukayaona macho ukaelewa ninachokiongea!
1063203
 
Dah mimi mipango yangu nilikuwa nafanyia pale twisheni ya pafekti visheni afu tunakutana bills jumapili ni ladies free, basi milupo ya sekondari na vyuo huikosi mule,cha ajabu tulikuwa tunabanana ukitoka nje nguo zinanuka jasho na sigara,nimekula sana totoz pala enzi za utineja.
😀😀😀😀😀 we fisi mzee sahivi
 
Aliwataja wote, kina Faudhia sijui kina Foya yani dah! Kipindi watoto wa Obey, Masaki, City Centre, Upanga, K.Koo pamoja na watoto wa uswahilini kiwanja pekee ilikuwa Bills pale. Mademu wote wakali wa mjini utawakuta mle!

Life will never be the same, maisha ya kileo yametutenganisha sana vijana!
Kweli maisha yametutenganisha. Enzi hizo umeme ukikatika ni mtaa mzima...ukirudi watu/watoto wanapiga shangweeee ""Huuuuuuoooioo""

Sasa hivi, unalala giza jirani ana umeme

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom